Archraf Hakimi: Hii ndo sababu ya mimi kuhamishia mali zangu kwa mama yangu mzazi nilipoona dalili za kutopendwa na mke wangu wa zamani

Haya maneno aliongea wapi, unaeza kunipa link ya hii video tafadhali.
 
Kuna mtu nilimwambia hakimi alikuwa na mzigo kwa majina yake na mkewe akawa na uhakika na hilo ila katikati ya ndoa mwana akajua hila za demu akacheza kama pele fasta.
Kama alibadilisha umiliki baada ya ndoa na bila kumjulisha mkewe hilo bado ni kosa kisheria, Mwanamke akipata wakili mzuri bado mali zitarudi kwa wana ndoa!!
 
Alitumia akili ila still bado ni risk kubwa coz mali zinahesabika kua ni za Mama yake na sio zake,

Lolote linaweza kutokea muda wowote,hasa kwa mfano kama Mama yake atatangulia mbele ya haki na kama anao watoto wengine.
Mari kuchukuliwa na ndugu zako wa tumbo moja na mwanamke wa mliyekutana ndani ya miaka 4 Bora Nini

Lakini pia Sheria za ulaya sio kama bongo
Sheria za ulaya unaweza ukaandika Mari apewe PAKA na zote zitahamishiwa kwa paka ukifariki
Kuna mabilionea kadhaa waliokufa wakaacha wosia urithi uende kwa paka na ikawa hvyo Mari zikarithishwa kwa paka
mseach google CAT TOMMASO utapata habari zake

So lazima waliandika wosia mama akifa Mari yote zitaendakwa HAKIM au watoto wa HAKIM
 
Alitumia akili ila still bado ni risk kubwa coz mali zinahesabika kua ni za Mama yake na sio zake,

Lolote linaweza kutokea muda wowote,hasa kwa mfano kama Mama yake atatangulia mbele ya haki na kama anao watoto wengine.
Simple tu anaacha urithi kwamba mali 1,2,3,... ni urithi huu atasimamia Hakimi zilizobaki hao waliobaki watagawana.

Naamini kwa uamuzi huo alioufanya hata ndugu kawashirikisha nawanajua ni za Hakimi
 
Kama alibadilisha umiliki baada ya ndoa na bila kumjulisha mkewe hilo bado ni kosa kisheria, Mwanamke akipata wakili mzuri bado mali zitarudi kwa wana ndoa!!
Habari yako Mariamu Ndala Ndefu? Ikikuuma ichomoe tu maana hakuna namna sasa Maria
 
Mwanamke akikupa mtoto je inakuaje?? Ni kweli ndio mana tukaambiwa tuishi nao kwa akili lakini kuna namna pia tuangalie wana nafasi hawa viumbee aloo......kama jmaa kazaliwa peke ake kwa mama ake na huyo mke kampa mtoto tena pengine mapacha na wako na bibi muda mwingine bado utamuacha kapa babe mama ndugu yangu?
 
Ndo umeandika Nini we bwege
 
Alitumia akili ila still bado ni risk kubwa coz mali zinahesabika kua ni za Mama yake na sio zake,

Lolote linaweza kutokea muda wowote,hasa kwa mfano kama Mama yake atatangulia mbele ya haki na kama anao watoto wengine.
Si Bora ziende Kwa ndugu zake kulko ziende kwa tapel, gold digger na malaya wa kike??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…