Archraf Hakimi: Hii ndo sababu ya mimi kuhamishia mali zangu kwa mama yangu mzazi nilipoona dalili za kutopendwa na mke wangu wa zamani

Archraf Hakimi: Hii ndo sababu ya mimi kuhamishia mali zangu kwa mama yangu mzazi nilipoona dalili za kutopendwa na mke wangu wa zamani

"Nilivyomuoa mke wangu, Hiba Abouk mwaka 2020 hadi 2023, baada ya miezi miwili, niligundua amekuja kuchukua pesa zangu, hivyo nikaamua kuhamisha kila kitu kwa jina la mama
yangu na nikawa nasubiri ajaze fomu ya talaka.

Kamwe sitokuja kumuamini mwanamke yeyote tena isipokuwa mama yangu. Mimi na mama yangu tulicheza muziki baada ya kuona talaka.

Nilisajili mali zangu zote kwa jina la mama baada ya kuhisi kuna kitu kibaya anapanga.

Baada ya mwaka mmoja wa ndoa, kabla ya talaka, tuligombana kidogo tu asubuhi ile, alisema natakiwa kujua anaweza kutaka talaka muda wowote na tutagawana mali zote sawa sawa.

Baada ya kusikia hivyo, nilitambua mke wangu ni malaya (gold digger) kisha sikupuuzia kauli yake na kuanza kufikiria nini cha kufanya.

Wazo la kumpatia mali zangu mtu ninayemuamini, jina la mama yangu likanijinia kichwani.

Tumepambana sana kufika ulipo, hivyo hakuna mwanamke aliyetoka huko aje kukuangusha, Basi haraka tulihamisha kila ninachomiliki hadi nguo mpaka jezi ninazochezea, zimehamia kwa mama.

Baada ya mke wangu kudai talaka na kutaka nusu ya mali zangu, sikuumia akili, Alikuwa ananiambia nitaenda kuwa kapuku, mganga njaa baada ya talaka, nilibaki nacheka moyoni.

Ukifeli kupanga basi jipange kufeli... Alifeli kupanga, nilifanikiwa kupanga alishtuka baada ya kugundua sina kitu.

Alikuwa analia sana mahakamani sio uchungu wa talaka ila kwa sababu aliondoka kama alivyokuja.

Wanaume wenzangu, marafiki watakusaliti, wanawake watakusaliti ila upendo wa mama
hauelezeki;

Achraf Hakimi.

UMEJIFUNZA NINI?

NB: MWANETU MKATILI
Haya maneno aliongea wapi, unaeza kunipa link ya hii video tafadhali.
 
Kuna mtu nilimwambia hakimi alikuwa na mzigo kwa majina yake na mkewe akawa na uhakika na hilo ila katikati ya ndoa mwana akajua hila za demu akacheza kama pele fasta.
Kama alibadilisha umiliki baada ya ndoa na bila kumjulisha mkewe hilo bado ni kosa kisheria, Mwanamke akipata wakili mzuri bado mali zitarudi kwa wana ndoa!!
 
Alitumia akili ila still bado ni risk kubwa coz mali zinahesabika kua ni za Mama yake na sio zake,

Lolote linaweza kutokea muda wowote,hasa kwa mfano kama Mama yake atatangulia mbele ya haki na kama anao watoto wengine.
Mari kuchukuliwa na ndugu zako wa tumbo moja na mwanamke wa mliyekutana ndani ya miaka 4 Bora Nini

Lakini pia Sheria za ulaya sio kama bongo
Sheria za ulaya unaweza ukaandika Mari apewe PAKA na zote zitahamishiwa kwa paka ukifariki
Kuna mabilionea kadhaa waliokufa wakaacha wosia urithi uende kwa paka na ikawa hvyo Mari zikarithishwa kwa paka
mseach google CAT TOMMASO utapata habari zake

So lazima waliandika wosia mama akifa Mari yote zitaendakwa HAKIM au watoto wa HAKIM
 
Alitumia akili ila still bado ni risk kubwa coz mali zinahesabika kua ni za Mama yake na sio zake,

Lolote linaweza kutokea muda wowote,hasa kwa mfano kama Mama yake atatangulia mbele ya haki na kama anao watoto wengine.
Simple tu anaacha urithi kwamba mali 1,2,3,... ni urithi huu atasimamia Hakimi zilizobaki hao waliobaki watagawana.

Naamini kwa uamuzi huo alioufanya hata ndugu kawashirikisha nawanajua ni za Hakimi
 
Kama alibadilisha umiliki baada ya ndoa na bila kumjulisha mkewe hilo bado ni kosa kisheria, Mwanamke akipata wakili mzuri bado mali zitarudi kwa wana ndoa!!
Habari yako Mariamu Ndala Ndefu? Ikikuuma ichomoe tu maana hakuna namna sasa Maria
 
Mwanamke akikupa mtoto je inakuaje?? Ni kweli ndio mana tukaambiwa tuishi nao kwa akili lakini kuna namna pia tuangalie wana nafasi hawa viumbee aloo......kama jmaa kazaliwa peke ake kwa mama ake na huyo mke kampa mtoto tena pengine mapacha na wako na bibi muda mwingine bado utamuacha kapa babe mama ndugu yangu?
 
Wanaume ambao hawana akili kwa wanawake ni waafrika tu..especial wanaume weusi ni watu wa ovyo sana kwa wanawake..wanaume weupe wana akili sana na hawababaishu,hawanyenyekei,hawajipendekezi kwa wanawake,pia wanaume weupe wanajiamini sana hawataki mambo ya kipuuzi
Ndo umeandika Nini we bwege
 
Alitumia akili ila still bado ni risk kubwa coz mali zinahesabika kua ni za Mama yake na sio zake,

Lolote linaweza kutokea muda wowote,hasa kwa mfano kama Mama yake atatangulia mbele ya haki na kama anao watoto wengine.
Si Bora ziende Kwa ndugu zake kulko ziende kwa tapel, gold digger na malaya wa kike??
 
Back
Top Bottom