Archraf Hakimi: Hii ndo sababu ya mimi kuhamishia mali zangu kwa mama yangu mzazi nilipoona dalili za kutopendwa na mke wangu wa zamani

Archraf Hakimi: Hii ndo sababu ya mimi kuhamishia mali zangu kwa mama yangu mzazi nilipoona dalili za kutopendwa na mke wangu wa zamani

Ukutane na k-lyn au sepenga, uandike wosia wa kijinga, halafu pembeni hakuna abraham mengi wala kichwa ngumu yeyote, you are dead my friend, na familia yako itabakiziwa picha zako na nguo zako chakavu,hata boksa mpya atahongwa hawara.
 
Alitumia akili ila still bado ni risk kubwa coz mali zinahesabika kua ni za Mama yake na sio zake,

Lolote linaweza kutokea muda wowote,hasa kwa mfano kama Mama yake atatangulia mbele ya haki na kama anao watoto wengine.
Wenzetu ngozi nyeupe hususan Waarabu ni waaminifu sana katika kuchunga haki ya mtu ngoma hapo inakuwa inogile kwetu wenye migozi myeusi ukifanya masihara kuna wengine wataenda hata kumroga huyo mama afe ili walianzishe.
 
Alitumia akili ila still bado ni risk kubwa coz mali zinahesabika kua ni za Mama yake na sio zake,

Lolote linaweza kutokea muda wowote,hasa kwa mfano kama Mama yake atatangulia mbele ya haki na kama anao watoto wengine.
Yumkini mama yake nae akaandika wosia wenye urithi mkubwa kwa Hakim akijua mali alizitafuta yeye?

Mimi naona bado upo uwezekano kwa njia yoyote mali kubaki zake ukizingatia wenzetu nchi zilizoendelea wame-advance pakubwa kwenye maamuzi ya kesi zao mbalimbali.
 
Pamoja na sababu zote izo bado ni salama zaidi kuandika jina la mama kuepuka hawa matepeli wa kizazi hiki.
 
Huyu mwanamke anayemwamini pia ni mke wa mtu. Aliaminika ndio maana leo anamuamini.
Kuamini mtu haijalishi ni mwanaume au mwanamke.Ni tabia na hulka ya mtu.
Stereotype ni ufinyu wakufikiri.
Kobe bryant alikua na mawazo kama yako, uliza maisha wanayoishi wazazi wake sasa hivi.

Tyrese nae kafunguka ya moyoni, fatilia kilio chake utajifunza kitu.
 
Mama akipata kibenteni kikamsugua vizuri hatoamini mwenetu, ataondoa neno "isipokua" kwenye sentesi yake ya mwisho ataweka "hata"
 
Alitumia akili ila still bado ni risk kubwa coz mali zinahesabika kua ni za Mama yake na sio zake,

Lolote linaweza kutokea muda wowote,hasa kwa mfano kama Mama yake atatangulia mbele ya haki na kama anao watoto wengine.
Shida kwakua ni Muislamu tu, la si hivyo mama angeandaa WOSIA kwamba ikitoea ametangulia mbele ya haki mali aliyoandikiwa irudi kwa mmiliki wa awali. Lakini kwa Waislamu hakuna WASIA wa kurithi mali kwenda kwa mwenye haki ya kurithi.
 
Wanaume ambao hawana akili kwa wanawake ni waafrika tu..especial wanaume weusi ni watu wa ovyo sana kwa wanawake..wanaume weupe wana akili sana na hawababaishu,hawanyenyekei,hawajipendekezi kwa wanawake,pia wanaume weupe wanajiamini sana hawataki mambo ya kipuuzi

wanaume weusi ni malimbukeni
 
Yumkini mama yake nae akaandika wosia wenye urithi mkubwa kwa Hakim akijua mali alizitafuta yeye?

Mimi naona bado upo uwezekano kwa njia yoyote mali kubaki zake ukizingatia wenzetu nchi zilizoendelea wame-advance pakubwa kwenye maamuzi ya kesi zao mbalimbali.
Wakati nafanya sheria nilisoma kidogo Islamic Law. Hicho kitu cha wosia mkubwa hakipo kwao kwa sababu kwa sheria zao, wosia anaandikiwa mtu asiye na haki ya kurithi tu, na hutakiwi kuzidi 1/3 ya mali yote baada ya kulipa madeni. Huwezi kuandika wosia kwa mfano wa kusema mwanangu x, au mke wangu y arithi kiasi fulani lakini anaweza kuandika Saint Anno II wa TZ arithi 25% ya mali zangu na hapo hakuna wa kupinga! Wenyewe wanatumia wosia "kuwarithisha" wale ambao hawana haki ya kurithi kwa taratibu za Kiislamu; kwa mfano watoto wa nje ya ndoa, n.k! Kwa hii issue, hapo wale wenye haki ya kurithi watakuwa wameshaambiwa bi mkubwa hapa ni Mweka Hazina tu, na katika kutilia mkazo huenda wameshaweka taratibu za kisheria kuonesha huyo mama ni trustee tu wa hizo mali na zitaendelea kuwa chini ya trusteeship yake hadi atakapotangulia mbele za haki au or when stated otherwise.
 
"Nilimuoa mke wangu wa zamani, Hiba Abouk kutoka 2020 hadi 2023 lakini niligundua kuwa alikubali kuolewa kwasababu ya pesa zangu miezi 2 tu ya ndoa yetu, nikaamua kuhamisha kila kitu kwa Mama yangu na nilikuwa nikisubiri kwa subira anipe talaka. Siwezi kamwe kumwamini mwanamke tena isipokuwa mama yangu tena mimi na mama yangu tulicheza pamoja baada ya talaka yangu." ARCHRAF HAKIMI ".

Niliandikisha mali zangu zote kwa jina la mama yangu wakati nilipoanza kumshuku mke wangu, Hiba Abouk ilikuwa karibu mwaka mmoja katika ndoa yetu kabla ya talaka yetu na tulikuwa na ugomvi mdogo asubuhi moja na aliniambia kwamba napaswa kujua kwamba anaweza kufungua kesi Ya talaka wakati wowote na ikiwa atafanya hivyo, tutagawana mali yangu kwa usawa. Niliposikia haya, niligundua kuwa nilikuwa nikiishi na gõld-digger. Kisha nikaanza kufikiria nifanye nini na ghafla wazo la kusajili mali zangu kwenye amana ya jina la Mama likanijia kichwani mwangu.

Kwa hiyo nilikwenda kwa Mama yangu na kumueleza kila kitu na akaniambia: "Mwanangu, nilikubeba tumboni mwangu kwa muda wa miezi 9 na siwezi kamwe kuruhusu jambo lolote litokee kwako. Tulifanya kazi kwa bidii sana kukufikisha hapa ulipo leo na hakuna mwanamke atakayetoka popote na kukuangusha.

Kisha mara moja tukahamisha kila kitu nilichokuwa nacho kwake kiasi kwamba hata nguo zangu, na jezi ninayotumia kucheza mpira ilikuwa ni yake. Kwa hiyo mke wangu alipowasilisha kesi ya talaka na kudai nusu ya mali yangu, sikuwaza ata. Hata aliniambia kuwa nitaenda kuachana baada ya talaka yetu lakini nilicheka tu moyoni mwangu. Na kama tunavyosema kila mara, Kushindwa Kupanga Ni Kupanga kushindwa, alishindwa kupanga na nikafaulu kupanga. Alishtuka kugundua kuwa sikuwa na chochote na mama yangu ndiye anayetutunza. Alilia sana si kwa sababu tulikuwa tunatalikiana lakini kwa sababu aliondoka mikono mitupu kama vile alivyokuja. Wanaume wapendwa, marafiki watakusaliti, wake watakusaliti lakini upendo wa mama ni mkuu." ARCHRAF HAKIMI.

Archraf Hakimi ni beki bora wa pembeni wa timu ya Taifa ya Morocco na klabu ya Paris Saint Germain iliyopo Ufaransa. Ni baba wa watoto wawili na mke wake wa zamani ,Hiba raia wa Hispania.
 
Back
Top Bottom