Ardhi, SUA na Muhimbili kipi chuo kigumu?

SUA still passmark ni 50 waligoma kufuata ya TCU na every year chuo kina disco zisizopungua 250
 
Nilichaguliwa Muhas ila kipindi nachagua chuo mzee wangu hakuwepo TZ alikuwa Germany sasa alipo rudi tulishauriana kama wana familia nikasome kozi ya uinjinia ndo nikafanya transfer
ujerumani my foot!!!!

eti nyokohh nyokhoo nyokhoo ....

mara transfer, mara ohhh sijui nini.......

P.I.M.B.I.
 
Hoja za Mwaka wa Kwanza. Jitahidi kumaliza salama semester ya kwanza.
 

Utakuwa tu Junior...hizi habari utaacha mwenyewe.
 

Huyo bwana analinganisha fani sema tu zinatolewa kwenye vyuo tofauti. Ili kumuelewa vizuri ni kuvirudisha hivyo vyuo kule vilikotokea in abstract terms - UDSM.
 
Kuna sababu za kuconsider unaposemea ugumu wa chuo. Chuo kinaweza kuwa kigumu kwa sababu zifuatazo:-

1. Uwezo mdogo wa msomaji hivyo kushindwa kuendana na standard inayotakiwa kusurvive kwenye mazingira hayo.
2. Uwepo wa instructors watata/wababe
3. Elimu inayotolewa na chuo husika kuwa ya kiwango cha juu hivyo kupelekea kila kitu kupimwa kwa standardized assessment maana yake hakuna ubabaishaji kila jambo lazima liende systematically na liwe na matokeo ambayo ni reasonable kiasi kwamba graduate anapotoka pale anakuwa yuko competent kwa kiwango kikubwa!

Je ARU ina kipi kati ya hayo hapo juu? Nafikiria kutakuwa na Kati ya 1 au 2!
Na kama 1 ndio sababu basi hupaswi kulalamika pia kama sababu ya 2 ipo je hao wametoka wapi au wameiga kwa nani?
 
Sua kuna elimu ngumu kuliko vyuo vingine bongo
 
Nilichaguliwa Muhas ila kipindi nachagua chuo mzee wangu hakuwepo TZ alikuwa Germany sasa alipo rudi tulishauriana kama wana familia nikasome kozi ya uinjinia ndo nikafanya transfer
Utaacha lini uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…