Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 764
- 1,892
Wanachi wengi hawakumwelewa yule bwana aliposema ipo siku tutapigwa mnada, leo wamasai ardhi yao imepigwa mnada kwa mwarabu,
Yaani anaondolewa mtanzania kwenye ardhi yake ya urithi anauziwa mwarabu aliyewahi kutuuza Kama ngongwe[emoji16] enzi za utumwa.
Ni ukweli kwamba rasilimali zetu Kama taifa zilishapigwa mnada, si madini,gesi,vitalu, ardhi yenye rutuba n k. Kilichobaki ni wanachi nao kuuzwa kwa Bei ya kuku.
Ngorongoro NI ardhi ya wamasai, tukikubali wauzwe leo kesho ardhi ya mgogo, mnyaturu, mchaga au mhaya itauzwa vilevile.
Raisi Samia na serikali yako acheni kutupiga mnada watanzania
🤣🤣🤣🤣kwa sasa bado wanauza rejareja,mkibaki kimya atapata mteja achukue kwa bei ya jumla
Toa ujinga wako hapa.Wanachi wengi hawakumwelewa yule bwana aliposema ipo siku tutapigwa mnada, leo wamasai ardhi yao imepigwa mnada kwa mwarabu,
Yaani anaondolewa mtanzania kwenye ardhi yake ya urithi anauziwa mwarabu aliyewahi kutuuza Kama ngongwe[emoji16] enzi za utumwa.
Ni ukweli kwamba rasilimali zetu Kama taifa zilishapigwa mnada, si madini,gesi,vitalu, ardhi yenye rutuba n k. Kilichobaki ni wanachi nao kuuzwa kwa Bei ya kuku.
Ngorongoro NI ardhi ya wamasai, tukikubali wauzwe leo kesho ardhi ya mgogo, mnyaturu, mchaga au mhaya itauzwa vilevile.
Raisi Samia na serikali yako acheni kutupiga mnada watanzania
Hilo pori tengefu si waweke huko Handeni.Wanafurushwa!! kwani wanafukuzwa Tanzania? Je handeni sio ardhi ya Tanzania
Fanya bidii uingie mzingani au sogelea mzingaHapana nimesema ukweli mchungu[emoji23][emoji23]
Akili yake imehifadhiwa ufipa store Hana mbinu za kuingia mzingani wala kuusogelea huyo[emoji23][emoji23][emoji23]Fanya bidii uingie mzingani au sogelea mzinga
Huu ndio ushahidi?Kama hujui kusoma hata picha hauioni?
Handeni panawafaa Sana wamasai NI eneo kubwa kwa kilimo na ufugajiHilo pori tengefu si waweke huko Handeni.
Hilo pori tengefu pelekeni huko Handeni.Umefurahia Sana Eee!! Sasa muondoke wenyewe kabla hatujarudi awam ya pili
Huyo Ana ugonjwa Kama wa mdude chadema hajui anachoropokaHuu ndio ushahidi?
Huyu jamaa haelewi anachopost humuT
Toa ujinga wako hapa.
Sasa nini maana ya kuuzwa kama alienunua kashindwa kuleta ulinzi wakeNdugai mpaka leo ni mbunge, apinge hayo ndani ya bunge maana ana kinga. Ndugai ndio alikuwa kinara wa kuhakikisha wabunge wa upinzani hawaongei ndani ya bunge, na alishiriki sana kuhakikisha wabunge wa upinzani hawarejei bungeni ili kusiwe na mtu wa kuhoji nchi yetu ikiuzwa. Kinachoendelea huko bungeni imegeuka ni sehemu ya vitisho ili nchi iuzwe vizuri, na kuongea uongo ili kuhadaa umma.
Ardhi yetu imeuzwa sijui kwa waarabu, lakini hatuoni majeshi ya waarabu huko ngorongoro wakiwashambulia Wamasai, bali tunaona polisi wetu wa kitanzania wakiwashambulia Wamasai. Yaani sisi wenyewe ndio tunauana na kuumizana ili mwarabu aje akalie nchi yetu!
Ardhi ya Wamasai Wana hati?Halafu cha kuhuzunisha ni ardhi ya wakristo wamasai na ni yao kiasili jadi na kihalali. Lakini wanazawadiwa miarabu kisa eti wamejenga msikiti. Jest imegine.
adriz Mohamed Said
Kwaiyo mwarabu yeye ndo hawezi kuiaribu!!??Kila kitu sio kupinga tu, serikali Ina Nia njema kabisa ngorongoro ikiachwa iendelee kuharibiwa na wamasai basi miaka michache mbele hatutakuwa na ngorongoro
Ni aibu sana mkuu.Ndugai mpaka leo ni mbunge, apinge hayo ndani ya bunge maana ana kinga. Ndugai ndio alikuwa kinara wa kuhakikisha wabunge wa upinzani hawaongei ndani ya bunge, na alishiriki sana kuhakikisha wabunge wa upinzani hawarejei bungeni ili kusiwe na mtu wa kuhoji nchi yetu ikiuzwa. Kinachoendelea huko bungeni imegeuka ni sehemu ya vitisho ili nchi iuzwe vizuri, na kuongea uongo ili kuhadaa umma.
Ardhi yetu imeuzwa sijui kwa waarabu, lakini hatuoni majeshi ya waarabu huko ngorongoro wakiwashambulia Wamasai, bali tunaona polisi wetu wa kitanzania wakiwashambulia Wamasai. Yaani sisi wenyewe ndio tunauana na kuumizana ili mwarabu aje akalie nchi yetu!
Kwanini hao waarabu wako wasiende wao handeniWanafurushwa!! kwani wanafukuzwa Tanzania? Je handeni sio ardhi ya Tanzania