Wewe ndio wale wapumbavu mnaoamini kuwapa waarabu ardhi yetu ndio akili. Mna wadudu vichwani nyie.Acha upumbavu wewe,ulitaka nijibu ujinga unaougikiria kichwani kwako kwamba Masai kuishi na wanyama ndio kumefanya kuwa maarufu?
Tulia huko Kenya ulipoHamna hata aibu kuwazawadia miarabu ardhi ya wa kristo wamasai Lisa mmejengewa msikiti.
Nasisitiza Tena hao NI wawekezaji Kama wawekezaji wengineWewe ndio wale wapumbavu mnaoamini kuwapa waarabu ardhi yetu ndio akili. Mna wadudu vichwani nyie.
Eeeh yamekuwa ya ukristo tena!!Ni ufiche wapi wakati huu ndo muda muafaka wakupigania haki za wakristo. Sasa kwa kuwa umenikera nitakutafuta ili uniambie usoni ni jinsi gani ya kuficha ujinga wangu. Nisubiri nakuja
Wewe ndio mpumbavu usiyejielewa..leta pesa na wewe upewe ardhi basi vinginevyo utaishia kulialia kama ngedere.Wewe ndio wale wapumbavu mnaoamini kuwapa waarabu ardhi yetu ndio akili. Mna wadudu vichwani nyie.
Wewe mpumbavu unajua kipi hasa?Kwa sababu hujui kitu. Wewe ni mjinga tunakujua.
Ndicho kisa cha kuondolewa LukuviWanachi wengi hawakumwelewa yule bwana aliposema ipo siku tutapigwa mnada, leo wamasai ardhi yao imepigwa mnada kwa mwarabu,
Yaani anaondolewa mtanzania kwenye ardhi yake ya urithi anauziwa mwarabu aliyewahi kutuuza Kama ngongwe[emoji16] enzi za utumwa.
Ni ukweli kwamba rasilimali zetu Kama taifa zilishapigwa mnada, si madini,gesi,vitalu, ardhi yenye rutuba n k. Kilichobaki ni wanachi nao kuuzwa kwa Bei ya kuku.
Ngorongoro NI ardhi ya wamasai, tukikubali wauzwe leo kesho ardhi ya mgogo, mnyaturu, mchaga au mhaya itauzwa vilevile.
Raisi Samia na serikali yako acheni kutupiga mnada watanzania
You nailed it !! Aongelee humo bungeni ili tumsapoti !!!Ndugai mpaka leo ni mbunge, apinge hayo ndani ya bunge maana ana kinga. Ndugai ndio alikuwa kinara wa kuhakikisha wabunge wa upinzani hawaongei ndani ya bunge, na alishiriki sana kuhakikisha wabunge wa upinzani hawarejei bungeni ili kusiwe na mtu wa kuhoji nchi yetu ikiuzwa. Kinachoendelea huko bungeni imegeuka ni sehemu ya vitisho ili nchi iuzwe vizuri, na kuongea uongo ili kuhadaa umma.
Ardhi yetu imeuzwa sijui kwa waarabu, lakini hatuoni majeshi ya waarabu huko ngorongoro wakiwashambulia Wamasai, bali tunaona polisi wetu wa kitanzania wakiwashambulia Wamasai. Yaani sisi wenyewe ndio tunauana na kuumizana ili mwarabu aje akalie nchi yetu!
Raisi akiwa muislam hoja hizi za ukristo huibuka Sana sijui NI kwa niniEeeh yamekuwa ya ukristo tena!!
Anyamaze kimya ametuharibia Sana bunge kwa ubabe wakeYou nailed it !! Aongelee humo bungeni ili tumsapoti !!!
Vizur kabisa ngorongoro na wamasai sio kichaka Cha wafugaji toka Kenya, na mafisadi wachache ndani ya nchi yetu kutuharibia hifadhi yetu, tutawang'oa wote awamu hiiNani huyo Mwarabu?? Kama unazo taarifa sahihi tujulishe vizuri jina la kampuni lakini maneno tu matupu sio kweli...Ngombe nyingi mle ndani za wakenya kuna mkenya ana ngombe nyingi sana humo sasa serikali ikiwatoa kuna ubaya waende kwao wana ardhi yao.
Ngorongoro lazima ilindwe kwa nguvu zoteTulia huko Kenya ulipo
Wanateseka sana hao waibua hoja za kipuuzi za udini wa kiongozi akiwa muislam.Raisi akiwa muislam hoja hizi za ukristo huibuka Sana sijui NI kwa nini
Halafu wao wanapendelekewa yaani wanajengewa kabisaa bado wanajifanya vichwa ngumu, sisi ardhi inatwaliwa na hatupewi hata kiwanja ni fidia na kuchapa lapa.Vizur kabisa ngorongoro na wamasai sio kichaka Cha wafugaji toka Kenya, na mafisadi wachache ndani ya nchi yetu kutuharibia hifadhi yetu, tutawang'oa wote awamu hii
Na mama anaupiga mwingi Hana udini Wala ukabila anawahudumia watanzania wote kwa umoja waoWanateseka sana hao waibua hoja za kipuuzi za udini wa kiongozi akiwa muislam.
Tunatambua mchango wa wamasai katika hifadhi yetu kwa miaka mingi, lkn Sasa serikali kwa nia njema imeamua kubadili matumiz ya ardhi Kama sheria inavyoruhusu, ndio maana tunawajengea makazi Safi na salama zaidiHalafu wao wanapendelekewa yaani wanajengewa kabisaa bado wanajifanya vichwa ngumu, sisi ardhi inatwaliwa na hatupewi hata kiwanja ni fidia na kuchapa lapa.