The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Salaam wanabodi.
Tukielekea kuupokea Mwezi wa mapenzi, mwezi ambao mahusiano mengi huvunjika, mengine huanza, mengine hutetereka kutokana na Visa vya hapa na pale.
Sasa nimekutana na concept moja ya Kua katika Unappreciated Relatioship, Yaani unakua na mkaka au mdada, Mzuri, mtanashati, sio mzinzi, hayuko toxic, anakupenda sana na unajua kabisa, na wewe unampenda sana ila tatizo ni pale utakapo anza kuona mapenzi yake hayatoshi?
Au lugha nyepesi, love language anayotumia inashindwa kuendana na love language ya kwako hivo unashindwa ku recognize/Appreciate?
Mbaya zaidi, aina hii ya wapenzi unakuta hawakukosei kabisa intentionally ila ndo hivo, unakua kwenye mahusiano ambayo wewe una feel LONELLY 😃
Ushawai kua katika hii hali?
Uliendelea au ulipiga chini?
Does it even get better if you keep holding up & trying ?