Are You Loved the correctly way ? Au unavumilia tu siku zisogee?

Are You Loved the correctly way ? Au unavumilia tu siku zisogee?

Salaam wanabodi.

Tukielekea kuupokea Mwezi wa mapenzi, mwezi ambao mahusiano mengi huvunjika, mengine huanza, mengine hutetereka kutokana na Visa vya hapa na pale.

Sasa nimekutana na concept moja ya Kua katika Unappreciated Relatioship, Yaani unakua na mkaka au mdada, Mzuri, mtanashati, sio mzinzi, hayuko toxic, anakupenda sana na unajua kabisa, na wewe unampenda sana ila tatizo ni pale utakapo anza kuona mapenzi yake hayatoshi?

Au lugha nyepesi, love language anayotumia inashindwa kuendana na love language ya kwako hivo unashindwa ku recognize/Appreciate?

Mbaya zaidi, aina hii ya wapenzi unakuta hawakukosei kabisa intentionally ila ndo hivo, unakua kwenye mahusiano ambayo wewe una feel LONELLY 😃

Ushawai kua katika hii hali?
Uliendelea au ulipiga chini?
Does it even get better if you keep holding up & trying ?
Kiingereza kibovu
 
Kama huwezi lugha ya Malkia acha kuichafua! Eti the correctly way! Utakuwa umepita madrasa tu!

Hii ni sheria gani unaihubiri wewe?

English is my second language, and I am learning everyday.

There is no problem, making mistake while learning.

Halafu watu kama nyinyi, ndo mnakuaka wajuaji with zero achievement in all life aspects.

🚮
 
Nilishavuka huko😅 akirudi tunaendelea tulipoishia, atakuja tu na zile pigo nilipitiwa usingizi sijui nilienda bla bla bla, wageni walikuja and so on.. kwahiyo nakausha tu nasonga mbelee

Zamani ndio nilikuwa nakazia mpk pachimbike! Sikuhizi na uzee huu akhuu! Yanini kupandishana sukari😅
😂😂😂😂😂😂
 
Hii ni sheria gani unaihubiri wewe?

English is my second language, and I am learning everyday.

There is no problem, making mistake while learning.

Halafu watu kama nyinyi, ndo mnakuaka wajuaji with zero achievement in all life aspects.

🚮
Whatever reason you are advancing, you have written broken English! FULL STOP!
YESTERDAY I GOES TO SCHOOL EVERY DAY nami najifunza au vipi nisamehewe tafadhali.

Mjadala umefungwa. Enjoy your day!
 
Back
Top Bottom