Are You Loved the correctly way ? Au unavumilia tu siku zisogee?

Are You Loved the correctly way ? Au unavumilia tu siku zisogee?

Anaongea na yuko romantic tu😅 ila sasa anaweza potea tu ata siku nzima katikati ya maongezi😅

na anarudi like nothing happened, yaani hata ukimuhoji hoji yeye haoni kama umekua upset kutokana na utoro wake kwenye penzi lenu.

Na ukikazia hilo swala, You are becoming the problem 😀
 
Sipendagi mtu japo nikiingia kwenye mahusiano namtreat vizuri! Akizingua kidogo natoweka! Sitabiriki na huwa siumizwi na mapenzi.

Hahaha siku ipo, tena siku yaja ambapo wewe utabaki kushangaa ulianzaje kufall kiasi hiki na ukaoneshwa dust.
 
na anarudi like nothing happened, yaani hata ukimuhoji hoji yeye haoni kama umekua upset kutokana na utoro wake kwenye penzi lenu.

Na ukikazia hilo swala, You are becoming the problem 😀
Nilishavuka huko😅 akirudi tunaendelea tulipoishia, atakuja tu na zile pigo nilipitiwa usingizi sijui nilienda bla bla bla, wageni walikuja and so on.. kwahiyo nakausha tu nasonga mbelee

Zamani ndio nilikuwa nakazia mpk pachimbike! Sikuhizi na uzee huu akhuu! Yanini kupandishana sukari😅
 
Kikubwa unapoingia nahusiano usiwe na matarajio makubwa sana na mwenzako (you need to manage your expectations) , na uishi humo. Kama unadhani kuna mwingine who can love you better basi nenda kwake .
Lazima uelewe kwamba huyo unayeona hakupendi vya kutosha yeye pia anaona haumpendi vya kutosha ila ameamua akuvumilie tu maana no one is perfect.
Kingine, hawa content creators wanaweza kukupoteza sana when it comes to mahusiaono, be careful.

Sasa Mkuu kama kwenye uchumba unavumilia vumilia, Itakuaje kwenye ndoa? Au ndo itabidi uzoee?
 
I really need prayers😂😂😂 hali ya kiuchumi mpaka kiroho nahitaji deliverance🤦🏽‍♀️
Oh Lord help me deliver this😩

Mapenzi yakikuona hauko vizuri kiuchumi, ndo yanakufanya darassa 😀
 
Nilishavuka huko😅 akirudi tunaendelea tulipoishia, atakuja tu na zile pigo nilipitiwa usingi sijui nilienda bla bla bla, wageni walikuja and so on.. kwahiyo nakausha tu nasonga mbelee

Zamani ndio nilikuwa nakazia mpk pachimbike! Sikuhizi na uzee huu akhuu! Yanini kupandishana sukari😅

Wewe ni kama ume learn kitu saiv, soon you will be graduating with honour and start matching energy 😀
 
Back
Top Bottom