Are You Loved the correctly way ? Au unavumilia tu siku zisogee?

Na usimuache,akiruka ruka nae,akipaa paa nae,akitua tua nae,
😂😂😂😂 hajiogopiii? Nilishamuambia fanya njegeka nikuoneshe upande mwingine wa Dunia ulivyo.

Km mmezoea kuchezea watoto wa watu, hapa kwangu umenoa.

Mbona ntafanya kitu walimwengu washindwe wafanye nn washangae au wastaajabu.
😂😂😂😂😂
 
🤣🤣🤣🤣,ajishikilie🙌
 
Ongezea option ya None of the above pulllliiiiiiiizzzz!!😁

What I know I'm loved whether correctly or the other way sio shida zangu😁😁!

And you??
Unamaanisha mimi sikupendi vizuri... Hahaha
 
Back
Top Bottom