Are You Loved the correctly way ? Au unavumilia tu siku zisogee?

Anaongea na yuko romantic tuπŸ˜… ila sasa anaweza potea tu ata siku nzima katikati ya maongeziπŸ˜…
Sasa hiyo shida iko wapii. We unasema siku?? Mie na Ba tamu tunaweza kaa hata week hatuwasiliani.
Mie nikijisikia natokea kwake ghafla, au yeye akijiskia ananitokea kwangu tunaenda kwake.
Umejiandaa hujajiandaa kimpango wako.

Yaani tuko km kundi la wahalifu, ila ndo hivyo miaka inakata tyuu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwahiyo natakiwa kuishi kijasusi kumbe! Love is not for the weak aises!🫒
 
Duh mko vzr
Mi communication nikishakua poor tu basi siwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…