Are You Loved the correctly way ? Au unavumilia tu siku zisogee?

Anaongea na yuko romantic tu😅 ila sasa anaweza potea tu ata siku nzima katikati ya maongezi😅

na anarudi like nothing happened, yaani hata ukimuhoji hoji yeye haoni kama umekua upset kutokana na utoro wake kwenye penzi lenu.

Na ukikazia hilo swala, You are becoming the problem 😀
 
Sipendagi mtu japo nikiingia kwenye mahusiano namtreat vizuri! Akizingua kidogo natoweka! Sitabiriki na huwa siumizwi na mapenzi.

Hahaha siku ipo, tena siku yaja ambapo wewe utabaki kushangaa ulianzaje kufall kiasi hiki na ukaoneshwa dust.
 
na anarudi like nothing happened, yaani hata ukimuhoji hoji yeye haoni kama umekua upset kutokana na utoro wake kwenye penzi lenu.

Na ukikazia hilo swala, You are becoming the problem 😀
Nilishavuka huko😅 akirudi tunaendelea tulipoishia, atakuja tu na zile pigo nilipitiwa usingizi sijui nilienda bla bla bla, wageni walikuja and so on.. kwahiyo nakausha tu nasonga mbelee

Zamani ndio nilikuwa nakazia mpk pachimbike! Sikuhizi na uzee huu akhuu! Yanini kupandishana sukari😅
 

Sasa Mkuu kama kwenye uchumba unavumilia vumilia, Itakuaje kwenye ndoa? Au ndo itabidi uzoee?
 
I really need prayers😂😂😂 hali ya kiuchumi mpaka kiroho nahitaji deliverance🤦🏽‍♀️
Oh Lord help me deliver this😩

Mapenzi yakikuona hauko vizuri kiuchumi, ndo yanakufanya darassa 😀
 

Wewe ni kama ume learn kitu saiv, soon you will be graduating with honour and start matching energy 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…