Namatch energy vibaya mno! Mpaka najishtukia😅 ukiwa mpole nakuwa mpole ukiwa romantic nazidisha 2x tuvibe utaenjoy! Kila kitu niko sambamba😆 sijui nimekuwaje!🤭Wewe ni kama ume learn kitu saiv, soon you will be graduating with honour and start matching energy 😀
Kiingereza kibovuSalaam wanabodi.
Tukielekea kuupokea Mwezi wa mapenzi, mwezi ambao mahusiano mengi huvunjika, mengine huanza, mengine hutetereka kutokana na Visa vya hapa na pale.
Sasa nimekutana na concept moja ya Kua katika Unappreciated Relatioship, Yaani unakua na mkaka au mdada, Mzuri, mtanashati, sio mzinzi, hayuko toxic, anakupenda sana na unajua kabisa, na wewe unampenda sana ila tatizo ni pale utakapo anza kuona mapenzi yake hayatoshi?
Au lugha nyepesi, love language anayotumia inashindwa kuendana na love language ya kwako hivo unashindwa ku recognize/Appreciate?
Mbaya zaidi, aina hii ya wapenzi unakuta hawakukosei kabisa intentionally ila ndo hivo, unakua kwenye mahusiano ambayo wewe una feel LONELLY 😃
Ushawai kua katika hii hali?
Uliendelea au ulipiga chini?
Does it even get better if you keep holding up & trying ?
Kiingereza kibovu
Kama huwezi lugha ya Malkia acha kuichafua! Eti the correctly way! Utakuwa umepita madrasa tu!Sawa, Mwalimu wa Kiingereza 🚮
Kama huwezi lugha ya Malkia acha kuichafua! Eti the correctly way! Utakuwa umepita madrasa tu!
Lele lelee ndio nin nyoosha maelezo kuwa mmeachana na bado unampendaMwanzo ilikua hivyo, ila baadae nilizoea.
Thou now 10+yrs tuko lele leleee.
Hatujaachana, bado tuko sanaa.Lele lelee ndio nin nyoosha maelezo kuwa mmeachana na bado unampenda
😂😂😂😂😂😂Nilishavuka huko😅 akirudi tunaendelea tulipoishia, atakuja tu na zile pigo nilipitiwa usingizi sijui nilienda bla bla bla, wageni walikuja and so on.. kwahiyo nakausha tu nasonga mbelee
Zamani ndio nilikuwa nakazia mpk pachimbike! Sikuhizi na uzee huu akhuu! Yanini kupandishana sukari😅
Na mtaachana tuHatujaachana, bado tuko sanaa.
Sio kila mudaKo mama mtumishi unataka kila mda muwe mnaongea au kuchati?? Wee
Whatever reason you are advancing, you have written broken English! FULL STOP!Hii ni sheria gani unaihubiri wewe?
English is my second language, and I am learning everyday.
There is no problem, making mistake while learning.
Halafu watu kama nyinyi, ndo mnakuaka wajuaji with zero achievement in all life aspects.
🚮
PoleeeeNa mtaachana tu
Poleeee mahi.Sio kila muda
Ila kuna mida muhimu, km asbh...mchana jioni b4 sleep ila eti iishe siku???? Siwezi mimi
Asante kwakweliPoleeee mahi.
😂😂😂😂Asante kwakweli
😄 🤣
Miaka kumi🤣, mpo nchi tofauti🤣Mwanzo ilikua hivyo, ila baadae nilizoea.
Thou now 10+yrs tuko lele leleee.
Tuko hapa hapa mahi. 😂😂😂😂😂Miaka kumi🤣, mpo nchi tofauti🤣
Hamtoachana📌Tuko hapa hapa mahi. 😂😂😂😂😂
Sisi hatuachaniiiii, labda mie nimuache yeye.Hamtoachana📌