Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Km yeye akivizia kuna kiungo gan atamlisha magoli?!
Maana Argentins yenyewe inamtegemea messi km play maker wao akivizia nan atakua play maker
Vipi kwa nini Messi na yeye asivizie hasa akiwa Argentina kama kuvizia ni rahisi
 
Anacho tayari ,world cup vijana na olympic wewe unataka nini ?
 
Anacho tayari ,world cup vijana na olympic wewe unataka nini ?
Vijana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Asubiri na ya wababu sasa Messi ana laliga pekeeee
 
Hapo juve amecheza msimu mmoja lakin unamlinganisha na alipocheza miaka 8.
Vipi msimu akifanya unavyotaka.. Utakuja kusemaje? Na Messi mbona umsemi akacheze timu nyingine tumuone
 
Wewe umejibu mangapi?... nakuuliza kuhusu argentina we unajibu kuhusu juve...
Messi sio mchezaji wa kumsifia kafika robo au fainali ila vikombe hasa taifa lake.
We umekomaa magoli ambayo hata Lukaku anayo
 
Km yeye akivizia kuna kiungo gan atamlisha magoli?!
Maana Argentins yenyewe inamtegemea messi km play maker wao akivizia nan atakua play maker
Ndio kusema hawana viungo?.. mbona hatuoni akiwalisha AGUERO+HIGUAIN.. akina DI MARIA wapo au ni mabeki.
Maana ya kuibeba timu ni kutumia uwezo wako wote kama staa ili mfanikiwe sio kutuambia play maker wakati yeye ndie anaongoza magoli hapo argentina.. Je nani alikuwa anamlisha mipira?
 
Messi ni mzoefu wa kucheza copa amerika.. je anayo hata 1?
 
Mkuu umemaliza, achana nae huyo.
 
Kina di maria kina aguero kina otamendi c wachezaji wazuri portugal kuna mchezaji mwenye jina zaidi ya cr7? Cr7 yule jamaa ni mpambanaji ase
 
Kashaipaisha hapooo....



Kanajilizaa..



Hapo kalitamani , ila kataishia kuliona tu , kama hivyo

Siwez kubishana msukuma.
KAMA WACHEZAJI WA ARGENTINS WAMEKIRI KOSA LAO KUWA WAMESHINDWA KUONESHA USHIRIKIANO KWA MESSI WW MSWAHILI WA TANDALE SINA CHA KUBISHAN NA WW
 
Usiangalie jina la mchezaji angalia team work.
Nikuulize labda.
Brazil na Belgium ipi ina wachezaji wenye majina;?
Germany na Japan ipi ina wachezaji wenye majina?!
Hujui mpira ww
Kina di maria kina aguero kina otamendi c wachezaji wazuri portugal kuna mchezaji mwenye jina zaidi ya cr7? Cr7 yule jamaa ni mpambanaji ase
 
Nimeamini hujui mpira.
Hivi unajua magoli mengi aliyoshinda messi ni ya give and go siyo ya kulishwa.?!
Hivi unajua km messi ndio anayeongoza kwa assist?!
We unamlishaje mtu kama Higuan anapishana na mpira?!
Umeona Higuan vile akosavyo kushinda nafasi za wazi pale Argentins ?!
usiropoke wewe
 
KUMBUKA LUKAKU ANACHEZESHWA NA ANA MAGOLI MACHACHE BELGIUM KULINGANISHA NA MESSI.
KUMBUKA WACHEZAJI WA ARGENTINS WENYEWE WANAJISEMA NA KUKIRI KOSA LAO KWAMBA HAWACHEZI KWA TEAM WORK NA KUONESHA USHIRIKIANO KWA MESSI.
ASA WW NA TAIGLIAFICO NA DIMARIA WAZAWA WA ARGENTINS NANI AAMINIWE?
MAANA HAO NDIO WANAOCHEZA NA MESSI NA WAMEONA KWAMBA MESSI KAJITAHIDI KUFANYA KITU LAKIN WAMESHINDWA KUONESHA SUPPORT INAYOTAKIWA.
TEAM HAIJENGWI KWA UKUBWA WA MAJINA YA WACHEZAJI BALI KWA TEAM WORK.
UKIITAZAMA GERMANY ILITOLEWA NA JAPAN MWAKA JANA WORLD CUP HALAFU GERMANY INA WACHEZAJI NGULI KAMA OZIL NA WENGINEO.ILA JAPAN ANAYEJULIKANA NI KAGAWA TU LAKIN KWA TEAM WORK WAKASHINDA DHID YA GERMANY.
HALKADHALIKA BRAZIL KWA MAJINA YA WACHEZAJI ALIONAO HAKUTAKIWA KUTOLEWA NA BELGIUM LAKIN TEAM WORK YA BELGIUM NDIO IMEITOA BRAZIL.
EMBU ACHA USUKUMA WW
Wewe umejibu mangapi?... nakuuliza kuhusu argentina we unajibu kuhusu juve...
Messi sio mchezaji wa kumsifia kafika robo au fainali ila vikombe hasa taifa lake.
We umekomaa magoli ambayo hata Lukaku anayo
 
Tatizo team work mkuu.
Wachezaji wa bara la Marekani ya kusini ni wachezaji mabishoo na. Wanaojifanya wanajua.
We iangalie Brazil na kikosi chote kile wa kutolewa na. BELGIUM
Messi ni wa Barcelona tu huyu wa Argentina sijui ni yupi.
 
Ronaldo alipoingia tu Realmadrid alikua fire.
Ila sio alipotoka madrid kwenda Juventus.
Messi atatoka one day.
Kwasababu hata pale Barcelona yeye ndiye anategemewa anachezesha hachezeshwi.
Na kwasababu ana watu ambao atleast wana team work na ushirikiano ndio maana unakuta Barcelona inatamba somehow.
We muone messi akikamatwa pale Barcelona.Barcelona inakufa inachapika km nyau.
Ndio maana ht Roma hawakuhangaika na mtu mwingine yeyote walimkamata messi tu barca mpira ukafa wakachapika 3 wakatoka.
WAARGENTINS WENYEWE WAMEKIRI KUWA UCHEZAJI WAO HAUKIDHI MAHITAJI NDIO MAANA WANAFUNGWA.
NDIO MAANA HATA MECHI DHID YA SPAIN WALIKULA SITA NA MESSI HAKUCHEZA ILE MECHI.
WE UTASEMA TATIZO MESSI AU ARGENTINS ?!
TEAM SIKUZOTE INATAKIWA IANGALIE SUPPORT NA USHIRIKIANO SIO MAJINA YA WACHEZAJI WAKUBWA.
NDIO MAANA JAPAN ILE PALE HAINA WACHEZAJI WAKUBWA LAKIN IMEMCHABANGA GERMANY MWENYE WATU MARIDADI KM WOTE.
NDIO KM PORTUGAL.
HATA RONALDO AKIKAA NJE WATASHINDA.
MFANO MZURI ILE FAINAL YA EURO RONALDO KATOKA NA WATU WAKATIA KAMBA NA KOMBE WAKACHUKUA.
KINACHOIKOST ARGENTINS NI KUKOSA TEAM WORK AND COOPERATION NDIO MAANA WANAFELI USIMLAUMU MESSI.
HATA TUNGEMCHUKUA HUYO RONALDO AMBAYE MVIZIAJI ASINGEFANYA KITU ARGENTINS KUTOKANA NA NIDHAM MBOVU YA UCHEZAJI WALIONAYO ARGENTINS.
Hapo juve amecheza msimu mmoja lakin unamlinganisha na alipocheza miaka 8.
Vipi msimu akifanya unavyotaka.. Utakuja kusemaje? Na Messi mbona umsemi akacheze timu nyingine tumuone
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…