Ronaldo alipoingia tu Realmadrid alikua fire.
Ila sio alipotoka madrid kwenda Juventus.
Messi atatoka one day.
Kwasababu hata pale Barcelona yeye ndiye anategemewa anachezesha hachezeshwi.
Na kwasababu ana watu ambao atleast wana team work na ushirikiano ndio maana unakuta Barcelona inatamba somehow.
We muone messi akikamatwa pale Barcelona.Barcelona inakufa inachapika km nyau.
Ndio maana ht Roma hawakuhangaika na mtu mwingine yeyote walimkamata messi tu barca mpira ukafa wakachapika 3 wakatoka.
WAARGENTINS WENYEWE WAMEKIRI KUWA UCHEZAJI WAO HAUKIDHI MAHITAJI NDIO MAANA WANAFUNGWA.
NDIO MAANA HATA MECHI DHID YA SPAIN WALIKULA SITA NA MESSI HAKUCHEZA ILE MECHI.
WE UTASEMA TATIZO MESSI AU ARGENTINS ?!
TEAM SIKUZOTE INATAKIWA IANGALIE SUPPORT NA USHIRIKIANO SIO MAJINA YA WACHEZAJI WAKUBWA.
NDIO MAANA JAPAN ILE PALE HAINA WACHEZAJI WAKUBWA LAKIN IMEMCHABANGA GERMANY MWENYE WATU MARIDADI KM WOTE.
NDIO KM PORTUGAL.
HATA RONALDO AKIKAA NJE WATASHINDA.
MFANO MZURI ILE FAINAL YA EURO RONALDO KATOKA NA WATU WAKATIA KAMBA NA KOMBE WAKACHUKUA.
KINACHOIKOST ARGENTINS NI KUKOSA TEAM WORK AND COOPERATION NDIO MAANA WANAFELI USIMLAUMU MESSI.
HATA TUNGEMCHUKUA HUYO RONALDO AMBAYE MVIZIAJI ASINGEFANYA KITU ARGENTINS KUTOKANA NA NIDHAM MBOVU YA UCHEZAJI WALIONAYO ARGENTINS.
Hapo juve amecheza msimu mmoja lakin unamlinganisha na alipocheza miaka 8.
Vipi msimu akifanya unavyotaka.. Utakuja kusemaje? Na Messi mbona umsemi akacheze timu nyingine tumuone