Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Km yeye akivizia kuna kiungo gan atamlisha magoli?!
Maana Argentins yenyewe inamtegemea messi km play maker wao akivizia nan atakua play maker
Vipi kwa nini Messi na yeye asivizie hasa akiwa Argentina kama kuvizia ni rahisi
 
Watu wanahesabia mafanikio pale unapobeba kitu an sio unapoishia kuifikisha timu sehemu ambazo hata timu nyingine imefika..kufika Kila wakat fainali na hauchukui ndio sababu hata ewew umetoka kuitukana juve huko post za nyuma.mess anatakiwa awe na Cha kujivunia kwenye national team sio magoli ambayo hata wakina Kane wanayo.
Anacho tayari ,world cup vijana na olympic wewe unataka nini ?
 
1562139616212.jpg
 
Angeipata team kama real then mngenieleza.
Halafu piga mfano Ronaldo angekuwa man United hadi sasa sijui ballon d,or angezipatia wapi.
Kinachofanya ulaya wanamweka messi kuwa ni bora kwasababu yeye ni mlishaji.
Ronaldo yeye husubilia vipikwe.
Kama naongopa embu chukulia mfano alivyokua Realmadrid.
Marcelo akitia jaro kaweeka kamba alikua akiitoa Bayern munich na Juventus atakavyo.
Kaja Juve sasaa!Hana viungo stahiki kama Realmadrid mpaka anatolewa na Ajax ambayo haina wachezaji current wazoefu wa UEFA.
Kwann hakupiga hatrik na kuivusha Juventus !?
Tatizo team combi aliokuwa nayo matatizo some how.
Hapo juve amecheza msimu mmoja lakin unamlinganisha na alipocheza miaka 8.
Vipi msimu akifanya unavyotaka.. Utakuja kusemaje? Na Messi mbona umsemi akacheze timu nyingine tumuone
 
Unajua kwanini alikosa waweza nambia?!
Hujui unabwabwaja maswali yangu hujibu.
Nijibu kwann alikosa kupewa yeye hiyo tuzo.
Unaposema kuhusu tuzo ya mwaka jana Ronaldo angekosa ht bila ya modric kucheza world cup.
Nafikiri ww jamaa huangaliagi uchambuzi wa mpira unakurupuka tu.
Ronaldo mpk huko wenyewe walishaanza kumshuku mpaka wanamuita he is "just" a goal machine.
Embu itazame hiyo kauli.
Yani "just " goal machine.
Wewe umejibu mangapi?... nakuuliza kuhusu argentina we unajibu kuhusu juve...
Messi sio mchezaji wa kumsifia kafika robo au fainali ila vikombe hasa taifa lake.
We umekomaa magoli ambayo hata Lukaku anayo
 
Km yeye akivizia kuna kiungo gan atamlisha magoli?!
Maana Argentins yenyewe inamtegemea messi km play maker wao akivizia nan atakua play maker
Ndio kusema hawana viungo?.. mbona hatuoni akiwalisha AGUERO+HIGUAIN.. akina DI MARIA wapo au ni mabeki.
Maana ya kuibeba timu ni kutumia uwezo wako wote kama staa ili mfanikiwe sio kutuambia play maker wakati yeye ndie anaongoza magoli hapo argentina.. Je nani alikuwa anamlisha mipira?
 
Nimeamini ww hauna akili.
Unataka kusema wachezaji wa ajax wa sasa wana uzoefu kushinda wa juventus ?!
Embu kuwa mtu mZIMA WW acha utoto.
Uzoefu unaoangaliwa ni wa wachezaji.
Wale walioipatia Ajac uefa nne hawapo wapo wapya sasa.
Ingekuwa hvyo intermilan asingekuwa akitolewa group stage.
Messi ni mzoefu wa kucheza copa amerika.. je anayo hata 1?
 
Sasa huoni kuwa huyu alietoka huku kwingine Tena ambapo hakukuwa na hiyo kasumba akabeba ballon d or na akaja huko kwenye kasumba kabeba mara nying tu kuwa ni Bora!!?Kuna wakat huwa tunabisha ili tuonekane tunajua kuongea na kuandika bla bla bla ila kiuhalisia rekodi za Ronaldo zipo juu kiujumla kuanzia clubs/national team na ukitaka vigezo kwa hoja za kimsingi unapigwa chini mapema Sana ukimfananisha na messi...ila ushabiki na mafanikio ya kwenye club ndio kitu pekee kinambeba mess kwenye kuwafanya mashabiki wake wapate Cha kuongea.usiku mwema.
Mkuu umemaliza, achana nae huyo.
 
Ona ulivyo mgumu kuelewa aisee!!
Messi hana watu wazury wa kushirikiana naye ndio maana kila anapojitahidi ku cope with team team inamuangusha.
Au huelewi kiswahili mzee.
Ingekuwa yupo spain inamaana angekutana na watu wazury wa ku cope nao km Ronaldo alivyo Portugal labda nikujuze hapo.
Mfano mzury ni ile baba anajitahidi kulea vema watoto ila mama haoneshi ushirikiano mpk ina results watoto hawaongokewi km inavyotakikana.
Lakin sio km hawez malez baba hapana ila mshirika wake haoneshi ushirikiano ndio sawa kinachomkuta messi.
TAFAKARI ANDIKO KABLA HUJAKURUPUKA
Kina di maria kina aguero kina otamendi c wachezaji wazuri portugal kuna mchezaji mwenye jina zaidi ya cr7? Cr7 yule jamaa ni mpambanaji ase
 
Kashaipaisha hapooo....

1a9d22988fd32e4ddd9938e07df5c3da


Kanajilizaa..

3fsc160626copagol3web713324611974mp4video1280x7202500000primaryaudioeng81280x720713326659585.jpg


Hapo kalitamani , ila kataishia kuliona tu , kama hivyo

Chile-win-the-Copa-America-Centenario-final.jpg
Siwez kubishana msukuma.
KAMA WACHEZAJI WA ARGENTINS WAMEKIRI KOSA LAO KUWA WAMESHINDWA KUONESHA USHIRIKIANO KWA MESSI WW MSWAHILI WA TANDALE SINA CHA KUBISHAN NA WW
 
Usiangalie jina la mchezaji angalia team work.
Nikuulize labda.
Brazil na Belgium ipi ina wachezaji wenye majina;?
Germany na Japan ipi ina wachezaji wenye majina?!
Hujui mpira ww
Kina di maria kina aguero kina otamendi c wachezaji wazuri portugal kuna mchezaji mwenye jina zaidi ya cr7? Cr7 yule jamaa ni mpambanaji ase
 
Nimeamini hujui mpira.
Hivi unajua magoli mengi aliyoshinda messi ni ya give and go siyo ya kulishwa.?!
Hivi unajua km messi ndio anayeongoza kwa assist?!
We unamlishaje mtu kama Higuan anapishana na mpira?!
Umeona Higuan vile akosavyo kushinda nafasi za wazi pale Argentins ?!
usiropoke wewe
Ndio kusema hawana viungo?.. mbona hatuoni akiwalisha AGUERO+HIGUAIN.. akina DI MARIA wapo au ni mabeki.
Maana ya kuibeba timu ni kutumia uwezo wako wote kama staa ili mfanikiwe sio kutuambia play maker wakati yeye ndie anaongoza magoli hapo argentina.. Je nani alikuwa anamlisha mipira?
 
KUMBUKA LUKAKU ANACHEZESHWA NA ANA MAGOLI MACHACHE BELGIUM KULINGANISHA NA MESSI.
KUMBUKA WACHEZAJI WA ARGENTINS WENYEWE WANAJISEMA NA KUKIRI KOSA LAO KWAMBA HAWACHEZI KWA TEAM WORK NA KUONESHA USHIRIKIANO KWA MESSI.
ASA WW NA TAIGLIAFICO NA DIMARIA WAZAWA WA ARGENTINS NANI AAMINIWE?
MAANA HAO NDIO WANAOCHEZA NA MESSI NA WAMEONA KWAMBA MESSI KAJITAHIDI KUFANYA KITU LAKIN WAMESHINDWA KUONESHA SUPPORT INAYOTAKIWA.
TEAM HAIJENGWI KWA UKUBWA WA MAJINA YA WACHEZAJI BALI KWA TEAM WORK.
UKIITAZAMA GERMANY ILITOLEWA NA JAPAN MWAKA JANA WORLD CUP HALAFU GERMANY INA WACHEZAJI NGULI KAMA OZIL NA WENGINEO.ILA JAPAN ANAYEJULIKANA NI KAGAWA TU LAKIN KWA TEAM WORK WAKASHINDA DHID YA GERMANY.
HALKADHALIKA BRAZIL KWA MAJINA YA WACHEZAJI ALIONAO HAKUTAKIWA KUTOLEWA NA BELGIUM LAKIN TEAM WORK YA BELGIUM NDIO IMEITOA BRAZIL.
EMBU ACHA USUKUMA WW
Wewe umejibu mangapi?... nakuuliza kuhusu argentina we unajibu kuhusu juve...
Messi sio mchezaji wa kumsifia kafika robo au fainali ila vikombe hasa taifa lake.
We umekomaa magoli ambayo hata Lukaku anayo
 
Tatizo team work mkuu.
Wachezaji wa bara la Marekani ya kusini ni wachezaji mabishoo na. Wanaojifanya wanajua.
We iangalie Brazil na kikosi chote kile wa kutolewa na. BELGIUM
Messi ni wa Barcelona tu huyu wa Argentina sijui ni yupi.
 
Ronaldo alipoingia tu Realmadrid alikua fire.
Ila sio alipotoka madrid kwenda Juventus.
Messi atatoka one day.
Kwasababu hata pale Barcelona yeye ndiye anategemewa anachezesha hachezeshwi.
Na kwasababu ana watu ambao atleast wana team work na ushirikiano ndio maana unakuta Barcelona inatamba somehow.
We muone messi akikamatwa pale Barcelona.Barcelona inakufa inachapika km nyau.
Ndio maana ht Roma hawakuhangaika na mtu mwingine yeyote walimkamata messi tu barca mpira ukafa wakachapika 3 wakatoka.
WAARGENTINS WENYEWE WAMEKIRI KUWA UCHEZAJI WAO HAUKIDHI MAHITAJI NDIO MAANA WANAFUNGWA.
NDIO MAANA HATA MECHI DHID YA SPAIN WALIKULA SITA NA MESSI HAKUCHEZA ILE MECHI.
WE UTASEMA TATIZO MESSI AU ARGENTINS ?!
TEAM SIKUZOTE INATAKIWA IANGALIE SUPPORT NA USHIRIKIANO SIO MAJINA YA WACHEZAJI WAKUBWA.
NDIO MAANA JAPAN ILE PALE HAINA WACHEZAJI WAKUBWA LAKIN IMEMCHABANGA GERMANY MWENYE WATU MARIDADI KM WOTE.
NDIO KM PORTUGAL.
HATA RONALDO AKIKAA NJE WATASHINDA.
MFANO MZURI ILE FAINAL YA EURO RONALDO KATOKA NA WATU WAKATIA KAMBA NA KOMBE WAKACHUKUA.
KINACHOIKOST ARGENTINS NI KUKOSA TEAM WORK AND COOPERATION NDIO MAANA WANAFELI USIMLAUMU MESSI.
HATA TUNGEMCHUKUA HUYO RONALDO AMBAYE MVIZIAJI ASINGEFANYA KITU ARGENTINS KUTOKANA NA NIDHAM MBOVU YA UCHEZAJI WALIONAYO ARGENTINS.
Hapo juve amecheza msimu mmoja lakin unamlinganisha na alipocheza miaka 8.
Vipi msimu akifanya unavyotaka.. Utakuja kusemaje? Na Messi mbona umsemi akacheze timu nyingine tumuone
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom