Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Unaifahamu historia ya watu weusi argentina na nini kilipelekea mpaka watu weusi argentina kuwa 1% tu?

Tim yako ya taifa ina mzungu,mwarabu,mchina au mhindi?

Kwaiyo kama wewe unaichukia na unawachukia wachezaji ni wewe ila usilazimishe na wengine wawe kama wewr. Coz yote haya ni kwa sababu ya Messi. Haters mnatabu
 
Kuna utofauti kat ya winger mvushaji mpira na kiungo play maker.
Messi ana kazi kushinda ronaldo aisee na ukiangalia team yake ya taifa wengi mazwazwa ana mtihani ktk kuiendesha Argentina.
Piga mfano angekubali kuwa team ya taifa ya Spain.
Spain daily wangekuwa wanabeba ndoo
Kwa paragraph yako ya mwisho umetuambia kwamba Messi kinachombeba ni team, ila yeye hawezi ibeba team. Ndio maana umesema 'angekua spain'

Ahsante kwa kukubali na kuutambua uwezo wa Messi.
 
Katika maisha yangu yote nitamkubali messi km great of football maana anachofanya messi ronaldo hawez na hakuweza maisha.
Kuichezesha team,kutafuta mipira na kuipandisha mipira na kutengeneza nafas za magoli wewe messi mwacheni
Mkuu kama huna points za ku support unachosema ndo unaamua kutupa hii chai yenye limau?

Playmaker role ipi hiyo imewahi chezwa na mtu aliyepo kwenye last 2 ya 4:4:2 formation?

Sio muda sana utaanza kutuambia namna messi huwa anafanya 'fine save, clearance, blocking na tackling maana inaonekana anafanya kila kitu uwanjani
IMG_20190622_154019_212.jpeg
 
Kaka Argentina ina watu ambao mizigo .
Kiujumla America ya kusin hakuna national team zote mpira wa show off.aasa messi ana mpira wa kaz kaz ulaya wachezaj wake wana mpira wa kitoto hapo ndipo anaposhindwa kuivusha Argentins.
Kwasababu chukulia mfano magoli mengi ndio ya messi ndio yameiokoa sana Argentins kunusa fainal world cup 2014 na kutamba fainal za copa America.
Na yeye ndie anashika chat ya magoli mengi ktk team yake ya taifa.
Tatizo wachezaj wa Argentins hawawez kumtumia messi.
Tagliafico alikiri hilo mwaka jana na kusema messi anajitahid kucheza na ss juu ya kiwango sisi tunacheza chini ya kiwango tunashindwa kumtumia messi wala messi hana makosa bali sisi ndio tuna makosa.
Asa mkuu messi angekuwa yupo spain angekuwa anawabebesha vikombe daily
Duh, Messi anafanya yote aisee.

Nadhani Messi huwa ni refa pia. Hakuna kitu hafanyi
 
Ohooo wewe mbona mgumu kuelewa?!
Kama unatazamaga mechi xa Barcelona na Argentins basi usiongee pumba.
NARUDIA TENA MESSI IS THE PLAY MAKER OF BOTH NATIONAL AND CLUB TEAM KAMA HUTAZAMAGI MATCH BASI KAA KIMYA
Mkuu kama huna points za ku support unachosema ndo unaamua kutupa hii chai yenye limau?

Playmaker role ipi hiyo imewahi chezwa na mtu aliyepo kwenye last 2 ya 4:4:2 formation?

Sio muda sana utaanza kutuambia namna messi huwa anafanya 'fine save, clearance, blocking na tackling maana inaonekana anafanya kila kitu uwanjaniView attachment 1134495
 
Ona ulivyo mgumu kuelewa aisee!!
Messi hana watu wazury wa kushirikiana naye ndio maana kila anapojitahidi ku cope with team team inamuangusha.
Au huelewi kiswahili mzee.
Ingekuwa yupo spain inamaana angekutana na watu wazury wa ku cope nao km Ronaldo alivyo Portugal labda nikujuze hapo.
Mfano mzury ni ile baba anajitahidi kulea vema watoto ila mama haoneshi ushirikiano mpk ina results watoto hawaongokewi km inavyotakikana.
Lakin sio km hawez malez baba hapana ila mshirika wake haoneshi ushirikiano ndio sawa kinachomkuta messi.
TAFAKARI ANDIKO KABLA HUJAKURUPUKA
Kwa paragraph yako ya mwisho umetuambia kwamba Messi kinachombeba ni team, ila yeye hawezi ibeba team. Ndio maana umesema 'angekua spain'

Ahsante kwa kukubali na kuutambua uwezo wa Messi.
 
Ona ulivyo mgumu kuelewa aisee!!
Messi hana watu wazury wa kushirikiana naye ndio maana kila anapojitahidi ku cope with team team inamuangusha.
Au huelewi kiswahili mzee.
Ingekuwa yupo spain inamaana angekutana na watu wazury wa ku cope nao km Ronaldo alivyo Portugal labda nikujuze hapo.
Mfano mzury ni ile baba anajitahidi kulea vema watoto ila mama haoneshi ushirikiano mpk ina results watoto hawaongokewi km inavyotakikana.
Lakin sio km hawez malez baba hapana ila mshirika wake haoneshi ushirikiano ndio sawa kinachomkuta messi.
TAFAKARI ANDIKO KABLA HUJAKURUPUKA
Ok ndugu mcha'mbuzi
 
Unaakili timamu wewe?!
Asa kwani messi anacheza peke ake?!
Ungesikiliza Tagliafico anachokisema then ndio umuelewe kwann yeye hamlaumu messi anawalaum wachezaj wenzake kutokuonesha ushirikiano.
Kwan magoli ya nan mpk yameifikisha Argentina fainal zote hizo tatu si ya messi au?!
Unaongea hataa usichokielewa
Fainali 3 zote ameshindwa kuvizia hata moja abebe ndoo.. au kuvizia unafikiri kila mtu anaweza?
Hapa hatujadili style ya kucheza ila kuipa timu ya taifa lako ndoo... Acha longofya humu
 
Umeongea mavi matupu.
Hao uliowataja wote ma foward aya hao ndio peke ake watakaba hao peke yake ndio watatengeneza nafasi nzuri ?!
Asee umelewa ww huyo cr7 ana vijana na mabeki ambao unaweza ukawaamini ila sio Argentina.
Kama yeye ni failure nan aliyeivusha argentina kiugumu kwenda world cup mwaka jana?!
Mpk messi anafungiwa mechi za qualification ya world cup Argentins ilikua inachezea kichapo ikabakiza mechi mbili wenyewe wachezaji wakaishauri board ya mpira ikaombe rufaa messi asamehewe hyo mechi moja iliobaki ili wapite ambayo ilikua dhid ya Ecuador.
Wameujua umuhimu wake mpk wakamuombea rufaa ikimaanisha wao wenyewe mechi zile mbili mfururizo walizofungwa bila messi walishindwa.
Wewe unaongea pumba tyuuu eti cr7 huyo ana vijana wanaopambana sio Argentina beki mbovu viungo uchwara team ita survive vipi
pumba kabisa.... argentina nahodha si ni messi?? lazima messi abebe lawama kwa kushindwa kuihamasisha timu... pia lazima ni failure... eti haina wacjezaji.... aguero?? dybala?? di maria??? messi ameshindwa kama kushidwa na ameonesha hana mchango na timu ya taifa hivo ni failure kabisa... kwanza yeye kitendo cja kujiuzuru pasi na sababu ilikuwa ni kuprove failure kabisa... wanaume huwa hatukatishwi tamaa kama cr7 asivyokata tamaaa
 
Cr7 ni kama lewandowski tyuu wakae golini wasubiri mpira.
Embu kaangalie bookmarks kule nan na nan wanaongoza this season ktk nominees wa ballon d,or.
Ngojea nikusaidie
1)Van dijk 56%
2)Lionel Messi 45%

Na hapo inatakiwa aivushe Argentina kufika hata nusu tyuu amdondoshe huyo beki hapo juu.
[emoji23][emoji23][emoji23] na wamenishukia kweliweli, hoja za kipuuzi hadi nimekaa kimya tu.
 
Unaakili timamu wewe?!
Asa kwani messi anacheza peke ake?!
Ungesikiliza Tagliafico anachokisema then ndio umuelewe kwann yeye hamlaumu messi anawalaum wachezaj wenzake kutokuonesha ushirikiano.
Kwan magoli ya nan mpk yameifikisha Argentina fainal zote hizo tatu si ya messi au?!
Unaongea hataa usichokielewa
Magoli hata Lukaku anaongoza pale BELGIUM.. Messi kila mashindano ya taifa anachotaka ni ndoo ili aache alama, we unatuletea habari za Kagerd alisema vile?
Nani hajui uwezo wa messi?.. Aibebe timu hata asipofunga muhimu ndoo tu
 
Umeongea mavi matupu.
Hao uliowataja wote ma foward aya hao ndio peke ake watakaba hao peke yake ndio watatengeneza nafasi nzuri ?!
Asee umelewa ww huyo cr7 ana vijana na mabeki ambao unaweza ukawaamini ila sio Argentina.
Kama yeye ni failure nan aliyeivusha argentina kiugumu kwenda world cup mwaka jana?!
Mpk messi anafungiwa mechi za qualification ya world cup Argentins ilikua inachezea kichapo ikabakiza mechi mbili wenyewe wachezaji wakaishauri board ya mpira ikaombe rufaa messi asamehewe hyo mechi moja iliobaki ili wapite ambayo ilikua dhid ya Ecuador.
Wameujua umuhimu wake mpk wakamuombea rufaa ikimaanisha wao wenyewe mechi zile mbili mfururizo walizofungwa bila messi walishindwa.
Wewe unaongea pumba tyuuu eti cr7 huyo ana vijana wanaopambana sio Argentina beki mbovu viungo uchwara team ita survive vipi
Timu ambayo imecheza FAINALI 2 ZA COPA AMERIKA NA FAINALI 1 KOMBE LA DUNIA unasema haina mabeki na viungo wazuri? hv akili yako imo kweli?
 
Back
Top Bottom