Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Huyu kocha wa Portugal atajuta kutomuanzia Ronaldo
Lawama zote atazibeba.

Anamuiga Ten Hag kumuweka CR 7 benchii,haya ngoja tuone.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hakuna lawama wala nini. Hata wareno wenyewe wanaona performance ya Ronaldo pamoja na vitabia anavyofanya.

Labda wamlaumu kwa mapungufu mengine!
 
Hawa Morocco Leo wanalinda na kushambulia..second half wanafungulia to turbo
Wamekuwa bora sana afu wana speed

Defense line yao iko vizuri, hawapitiki kirahisi

Portugal wanafosi sana kufanya mashambulizi upande wa kulia wakati upande wa kushoto nimeona mipira mingi ambayo ikipita inafanikiwa zaidi na sijajua kwanini

Ngoja tuone kipindi hiki cha pili kitakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…