blackice2100
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,188
- 2,897
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106]Tutawalazimosha waje umoja wa Africa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106]Tutawalazimosha waje umoja wa Africa
Inaoneshwa ila inakwama kwama sana, kama una source nyingine ya kuangalia hii mechi ni heri ukaitumia hiyo hiyo Chifu.Hii match inarushwa TBC kwani?
Wadau wengi hawamtamki labda ana nyodoMbona uzi upo tayari, January ndio mwisho kuwa CEO wa mnyama
Hao ndio wanaamini Mwanza haipo Kaskazini mwa tzUmesoma geograph
Hakuna lawama wala nini. Hata wareno wenyewe wanaona performance ya Ronaldo pamoja na vitabia anavyofanya.Huyu kocha wa Portugal atajuta kutomuanzia Ronaldo
Lawama zote atazibeba.
Anamuiga Ten Hag kumuweka CR 7 benchii,haya ngoja tuone.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Taarifa yake ndio inasambaa ameshaandika baruaHata sijuii...au hizo n zaa ndaniii kabisa?
Wamekuwa bora sana afu wana speedHawa Morocco Leo wanalinda na kushambulia..second half wanafungulia to turbo
Sio kwako tuu ni kwa wengiToka Brazil alivyotoka hamu ya mpira imepotea kabisa
Duuuuh au atahamia Yanga?Taarifa yake ndio inasambaa ameshaandika barua
Hakuna lawama wala nini. Hata wareno wenyewe wanaona performance ya Ronaldo pamoja na vitabia anavyofanya.Huyu kocha wa Portugal atajuta kutomuanzia Ronaldo
Lawama zote atazibeba.
Anamuiga Ten Hag kumuweka CR 7 benchii,haya ngoja tuone.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Yaani kama mechi ya baadae zote team zangu yaani zote nashabikia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila team na babes wake
England badae kuna baby Mount
Ila nitakuwa kwa baby Mbappe
Dylie Giroud Mbappe Le Greazgirl
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji126]