Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Unajua wakiona unaandika hivi wanajua wewe una chuki na Messi lakini kumbe wala. Mimi binafsi namkubali Messi ila ambacho nashindwa kukubaliana na wengi anapewa sifa kupitiliza na kuwekwa kwenye dunia tofauti na wachezaji wengine bora.

Yan media zinamhype kupitiliza. Tunaweza kumsifia lakini yeye sio Mungu wa mpira ni bora kati ya wengine bora katika soka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Maulidizio Kitengemano
 
Hii comment naona unaizungusha kila mahali, pole Ronaldo katoka, kazidiwa uwezo
 
N

inachosema matendo ya watu hayahalalishi yaliyo ya HARAMU.... Bwana Mungu wetu ametutaka TUSIZINI, hata wakizini WATU WOTE DUNIANI haimaanishi SHERIA YA MUNGU IMEBADILIKA..
Mapokeo + asili yetu = kutojichosha na mapokeo
Cc tuliita maadili @ adabu = wazee wetu wakatufikisha hapa leo tunaita nidhamu za uoga = tukapewa amri 10 ukifuatilia sana hakuna la tofauti na Yale ya wazee wetu tatizo tulikosa wa kutuandikia na huenda tungekuwa na dini zilizo Bora zaidi na jamii Bora zaidi!!!!
Kikubwa enjoy mpenzi life is too short!! Kikubwa usiende nje ya maadili!!
 
Mwaka gani kafunga goli 90+ kwa mwaka mmoja?
 
Mwaka gani kafunga goli 90+ kwa mwaka mmoja?
Nimeona hili swali nikagundua kumbe we argue na watotot wadogo sana....hili pia hujui na wajinasibisha na soccer la ulaya???

Kwa kukusaidia kidogo tu, ndio mwaka aliefunga gori 51 kwenye msimu mmoja wa la liga hii pia ni record ambayo pia haijavunjwa.....najua mpira wenu upo YouTube nenda katafute hilo

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Kaeni kwa kutulia wakuu...
Watakaofika fainal, mwenye uwezo wake ndani ya uwanja dk 90 au 120 ndiyo atabeba....

Iwe kwa mikwaju ya penati au vyovyote lazima mshindi wa ndoo ya dunia lazima tumpate tu...

Hakuna haja ya kubishaana sana, tusubiri game tamu ya usiku wa leo tumpate mtabe ataemenya na mshindi wa ½ fainali ya kwanza...

Nilishasema, kuchukia/ kubeza timu au wachezaji wa timu anayoshabikia mwenzio haitasaidia timu yako kufanya vizuri au haitazuia timu nyingine kushinda kama ina uwezo huo...

Swala ni uwezo ndani ya uwanja dk 90 au 120 na siyo kubishana kwa kuangalia rekodi za nyuma na historia pekee....

Mwisho yoyote anaefika hatua flani jua kafika kwa uwezo wake ndani ya uwanja... kazi yetu ibaki kuchek na kufurahia mpira mzuri...

Kaeni kwa kutulia wazeia, hili goma linogile....
 
Ushindi ni wa Morocco na Waarabu tu

Nyie wengine mbona mnaitaja taja nchi yetu ya Morocco na sisi waarabu

Tulia leo tunavyomnyeshea ufaransa mvua ya magholi sisi waarabu
 
Kuna waliofika kwa uwezo wa pernaties kutoka kwa VAR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…