Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Carrasco putinWaliotaka Messi leo alie, hatimaye wanalia wao.
Unajua wakiona unaandika hivi wanajua wewe una chuki na Messi lakini kumbe wala. Mimi binafsi namkubali Messi ila ambacho nashindwa kukubaliana na wengi anapewa sifa kupitiliza na kuwekwa kwenye dunia tofauti na wachezaji wengine bora.Miss hata tuzo zake zote 2 za Balloon D'O ni za utata.
2010 alilalamikiwa kuchukua tuzo ya aliyekuwa anastahili Iniester.
2020 pia alilalamikiwa sababu alichukua tuzo ya Lewandosky hata Messi naye alikiri hivyo [emoji23]
Miss anaandaliwa kupewa tuzo ya mchongo kwa kupewa penalty zaidi ya 5 zote, anayekataa kuwa life is not fair ajiite Taahira View attachment 2446517
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Ufaransa katika Kombe la Dunia 2022 kimekumbwa na ugonjwa siku moja kabla ya mechi yao muhimu ya Nusu Fainali dhidi ya Morocco.
Ugonjwa huo unaokuja na homa na kuumwa koo umeanza kusambaa kati ya wachezaji wa timu hiyo na kuleta wasiwasi mkubwa.
Dayot Upamecano alianza kujisikia vibaya, hivyo Jumatatu hakuweza kufika mazoezini. Kufikia Jumanne, Upamecano na Adrien Rabiot walikosa mazoezi sababu ya kuugua. Hali hii imelazimu kufanyika kwa maandalizi ya mabadiliko kwenye dakika za mwisho.
Hivi sasa, Ibrahima Konate na Youssef Fofana wako wameandaliwa ikiwa Dayot na Adrien watashindwa kucheza.
Tetesi zinasema kuwa Karim Benzema ambaye amekuwa majeruhi na kushindwa kucheza hata mechi moja ya Kombe hili la Dunia,sasa yupo fit na ameshaanza mazoezi tangu Jumamosi, hivyo atakuwa tayari kujumuika na kikosi ikiwa atahitajika.
Hii comment naona unaizungusha kila mahali, pole Ronaldo katoka, kazidiwa uwezoSi kila anayemkataa Andunje ni mshabiki wa CR 7.
Unawapangiaje Watu wote duniani wamshabikie huyo Andunje [emoji848]
Ninyi ndiyo huwa mnawaita Watu kuwa ni Waislamu wasiofungamana na sera za USA na EU kusapoti Ukraine kupambana na Russia kisa tu hawamkubali Zelensky (Ukraine), au kuwaita Watu mashoga wanaowakubali USA na EU kisa tu kumkataa (Putin) Russia [emoji16]
Watu tupo duniani zaidi ya B 8 kasoro M 200 afu unataka sote tumkubali Andunje, kweli itakuwa dunia ya Watu wenye akili, si itakuwa ni dunia ya Mazezeta tu [emoji848][emoji1732][emoji16]
Tupo pamoja sana Bantu Lady 🤗Davet I see you... 🤝
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2446562
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ndivyo ulivyo fundishwa shuleni kwenu?Naona safari ya Morroco imeishia leo.
France [emoji1229] bingwa tena.
Mapokeo + asili yetu = kutojichosha na mapokeoN
inachosema matendo ya watu hayahalalishi yaliyo ya HARAMU.... Bwana Mungu wetu ametutaka TUSIZINI, hata wakizini WATU WOTE DUNIANI haimaanishi SHERIA YA MUNGU IMEBADILIKA..
Weka akiba ya maneno mkuuNaona safari ya Morroco imeishia leo.
France [emoji1229] bingwa tena.
Mwaka gani kafunga goli 90+ kwa mwaka mmoja?Takwimu gani ulizoleta wew za kijinga hizo Yani mtu Kwa season 2022/2023 hajafika Goli 24 unakuja kumsifiasifia Messi alikua anauwezo wa kufunga 90 + Kwa mwaka mzima tena akiwa na penati chache sana wew unakuja kuleta madudu Yako apo eti amepeform kitu Gani alichoperform Messi uwezo wa kufunga,kuasist,kupiga faulo,speed umepungua sana Ata uwo uwezo wakupiga penati Messi alikua anauwezo wakupiga penati hata 10 mfululizo Bira kukosa ila kweny penati Tano Kuna uwezekano moja akakosa mwaka huu tayari kashakosa penati mbili hadi Sasa alikosa penati kweny mechi ya PSG na Real Madrid akikosa penati kweny mechi na Poland juzi apo msimu uliopita akiwa na PSG alikua na jumla ya Goli 12 Kwa msimu mzima akiwa PSG unakuja kumjaza apa ivi mtu kutoka kufunga Goli 50 kweny ligi Kwa msimu had kuja kufunga Goli 11 Kwa msimu kweny ligi ni kuperform huko mashabiki wa Messi sjui Huwa mnajikuta kinani Vile
Nimeona hili swali nikagundua kumbe we argue na watotot wadogo sana....hili pia hujui na wajinasibisha na soccer la ulaya???Mwaka gani kafunga goli 90+ kwa mwaka mmoja?
Wambie timu Messi wakupe hiyo rekodi afu tunakaa tunabishana kweliMwaka gani kafunga goli 90+ kwa mwaka mmoja?
Waarabu hata wapandishe majini wanatoka.Weka akiba ya maneno mkuu
Haya maneno tulishayazoea.., kwa spain mliongea, kwa Belgium mliongea, kwa Portugal mliongea..
Kuna waliofika kwa uwezo wa pernaties kutoka kwa VARKaeni kwa kutulia wakuu...
Watakaofika fainal, mwenye uwezo wake ndani ya uwanja dk 90 au 120 ndiyo atabeba....
Iwe kwa mikwaju ya penati au vyovyote lazima mshindi wa ndoo ya dunia lazima tumpate tu...
Hakuna haja ya kubishaana sana, tusubiri game tamu ya usiku wa leo tumpate mtabe ataemenya na mshindi wa ½ fainali ya kwanza...
Nilishasema, kuchukia/ kubeza timu au wachezaji wa timu anayoshabikia mwenzio haitasaidia timu yako kufanya vizuri au haitazuia timu nyingine kushinda kama ina uwezo huo...
Swala ni uwezo ndani ya uwanja dk 90 au 120 na siyo kubishana kwa kuangalia rekodi za nyuma na historia pekee....
Mwisho yoyote anaefika hatua flani jua kafika kwa uwezo wake ndani ya uwanja... kazi yetu ibaki kuchek na kufurahia mpira mzuri...
Kaeni kwa kutulia wazeia, hili goma linogile....