Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Messi kafanya sana haya kwenye career yake....hakuna jipya hapo.

Ni kwamba hamkumbuki au mnajifanya mmesahau ya Messi ?
and 100 others Its Pancho NAJYUZ Interlacustrine E
 
Wamejizima data[emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo hicho kinachoonekana pichani hapo ni kitu normal?

Au ni normal kwasababu kimefanywa na mtu mwingine tofauti na Messi?
Scars achana na kubishana na watoto wa shule Kuna vitu unapoteza mda wako Yani imefika time mashabiki wa Messi Kuna vitu wanashangaa Messi akifanya kweli mtu anashangaa Messi kuwa top assist wa kombe la Dunia even kina Juan cuadrado Thomas muller wamewahi kuwa ma top assist wa kombe la Dunia Messi ambaye alikua anafunga Goli 90 Kwa mwaka Leo tunashangaa kuwa top assist Tena Tatu Yan unajiuliza ivi uyu Messi wameanza kumtizama lini wameanza kumtizama akiwa PSG au unajiuliza je wangemuona yule Messi ambaye alikua ana uwezo wa kufunga Goli Tano Kwa mara moja kweny champions league ingekuaje si wangemuita Mungu hawa Tuacheni ushamba wa mpira
 
Sasa wakibeba Argentina u afikiri hali itakuwaje kama tu kufika semi final naskia huko Argentina walikuwa wanapeperusha jezi ya Messi kwenye holicopter

Wakichukua kombe unafikiri huko angani kutakuwaje?
Mashabiki wake wataenda kuwa mandondocha kabisa

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Messi kafanya sana haya kwenye career yake....hakuna jipya hapo.

Ni kwamba hamkumbuki au mnajifanya mmesahau ya Messi ?
and 100 others Its Pancho NAJYUZ Interlacustrine E
Sasa kama kafanya kwanin mnaleta ushamba wenu wakizamani akifanya kitu kidogo tu inakua kama ni kitu kipya kwake au mnazani tumesahau Ile mipenati aliyokua anakosa kweny Copa America had ikafika time akataka kustafu
 
Sisi Wafaransa tunashangilia tukibeba kombe ila sio stage za huku chini
 
Atoe hela.
Ni halali kuwa tunaishia kuwa wasindikizaji tuu.

Nafikiri wanajuta sana saaizi
Kwamba Mbappe angekuwa Cameroon wangechukua Kombe, au Zidanne angekuwa Algeria ?

Kushinda kombe sio kipaji pekee hakuna timu talented kama South America ila sio mara zote inachukua kombe.., Argentina bora ilikuwa ya kina Juan Román Riquelme, Saviola na hapo Messi akiwa Benchi ila ndio hivyo hawakuchukua Kombe...

Ugiriki walichukua Kombe la Ulaya kwa kupaki Basi... Portugal walichukua Kombe la Ulaya kwa ngekewa na happenstances ila ndio hivyo Cup Competition
 
Wewe sasa ndo unaangalizia mpira Livescore
 
Sisi hatushangai vitu anavyo fanya Messi kwa sababu hajaanza leo!,na hatupingi uwezo wa Mbappe.Concern hapa ni kuleta kumlinganisha Messi na Mbappe kwenye hii tournament ,wakati in terms of performance kwenye hii tournament Mbappe hakuna alichomzidi Messi.Sote tunaangalia mpira toka WC imeanza MOTM wa france team ni Giroud ana MOTM 2 ,Mbappe 2 Grieazmann 1.Wakati Argentina Messi anazo 4.Ulinganisho wa Messi na Mbappe unatoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…