February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Afu hii picha mnaikuuuza...wakati hapo alikuwa ndani ya box anapiga kufunga, ndio maana Hakimi hapo ameslaidi ili ablock mpira.Dogo Kylian, kiboko ya Virikou[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nyie vishoti,mnamuona Mbappe lakini??View attachment 2447602
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Soma vizuriAna assist 20?
Kama sio assist haina maana yoyoteSoma vizuri
Inasikitisha na kukatisha tamaa sanaKama sio assist haina maana yoyote
Kila mchezaji anatengeneza nafasi..Hata kipa anapoanzisha mpira ametengeneza nafasi ya shambulizi kuanza.Inasikitisha na kukatisha tamaa sana
SawaHizi ratiba za extra time hatuna kaka
Sawa MOTM anazo 3 Comparison na Messi inatoka wapi mkuu? Kamzidi nini Messi?Mkuu hata ukisema sisi wengine tunaangalia kupitia livescore sio dhambi, ishu ni kutumia livescore kama hoja ya kufifisha hoja ya mtu mwingine kwa kuweka taarifa zisizo za kweli.
Naamini swala la kumtaja Mbappe kuwa ana MOTM 2 ni mistake tu ambayo inaweza kusababishwa na vitu vingi eidha ni kwasababu humfatilii sana au la. Siamini kwenye kukosea huko nikuhusishe na habari za livescore au namna gani kwasababu najua sio mara zote unaweza ukawa na kumbukumbu sawa
Kukusahihisha tu ni kwamba Mbappe ana MOTM 3 ambazo alichukua kwenye mechi hizi
France vs Australia
France vs Denmark
Round of 16: France vs Poland
Uzuri ni kwamba sisi hatuna chuki wala makasiriko. Dogo ni mchezaji mzuri na akiendelea hivyo ataheshimika kama Thierry Henry au Zinedine Zidane.Team Messi inamaana hii ndio mmeshindwa kuizungumzia hata kwa unafki tu??
Siku inataka kuisha bila hii kitu kusikia maoni kutoka kwenu
Toeni neno bana hata kama ni la kubeza toeni tuwasikie
Hamuwezi mkakaa kimya kama hakijatokea chochote wakati tunajua wote mliangalia mpira
View attachment 2447431
Bado natafakari kuhusu jinsia yako.πTutapiga vyombo kwa kwenda mbele
Dunia nzima tutakuwa na furaha
Viva France π¨π΅π¨π΅
Fuatilia historia ya Brazil na Argentina katika soka, wala hautashangazwa na maoni ya De LimaRinaldo Delima kashasema mchezaji bora of the tournaments ni Mbape
Acha uongo we hautumii pombe itanishangaza kama huiogopi hata grand malt kisa ni nyeusi kama GuinessTutapiga vyombo
Mimi namkubali sana Messi..ila siyo timu ya Ajentina..kama messi angekuwa spain au Germany basi ningekuwa die hard fan..Ila sasa yuko kwenye taifa la kiboya ubaguzi na matakataka mengine
Akili huna
Tena sio kidogo kamanda, waafrika wengi ni wabaguzi, tena hawa wa sasa anaweza kukukata kichwa..Ubaguzi Africa tunaongoza
Messi kamzidi moja Mbappe na hiyo moja inaweza kutokana na Mbappe kuanzia bench kwenye ile mechi ya tunisiaSawa MOTM anazo 3 Comparison na Messi inatoka wapi mkuu? Kamzidi nini Messi?
Colombia mkuu ..kombe hili sina timu maana chama langu lijafuzu, ila kombe hili ajentina hapaswi kubeba πππWewe ni shabiki wa timu gani?
Kuna dalili kama 65% mpaka saivi za Messi atachukua kiatu cha uchezaji bora na mpira wa dhahabu View attachment 2447751
Colombia mkuu ..kombe hili sina timu maana chama langu lijafuzu, ila kombe hili ajentina hapaswi kubeba πππ