Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Argentina tunawasubiri tuwapasue kama ngoma
Bora kusimama na Waafrika wenzetu wa Ufaransa, πͺ kuliko wale wazungu uchwara wa Amerika ya kusini.Wamatumbi hureeeee
Mbappe na Dembele ni wanyakyusa wale kabisa π₯π₯π₯
Bora kusimama na Waafrika wenzetu wa Ufaransa, πͺ kuliko wale wazungu uchwara wa Amerika ya kusini.
Mioyoni wanampenda ila machoni wanamkataaTayari washaanza kusema messi anaandaliwaππ mti wenye matunda hupigwa mawe, wanamkubali ila hawajionyeshi hadharani.
Watu watakimbia uzi huuWale mahaters wa Morocco na kushabikia wasaliti, jumapili tuna jambo letu
[emoji848]Unataka mashine nini mbona umeipost
Na hii ndio sababu team Ronaldo wote tumeamia kwa Messi japo mara hii tu kumpa heshima yake... Jamaa anasitahiri achukue would cupMessi ni mfano wa mazumizi sahihi ya akili katika soka....sio mazoezi mengi bali ni kitu halisi alichobarikiwa akifanye katika ulimwengu wa soka......Ronaldo ni mchezaji wa daraja la juu sana Duniani naheshimu mchongo wake katika soka na mimi ni shabiki wa Man Utd toka enzo za kina Roy Kean,Jaap Stam....mpaka leo.
Nimeangalia mechi nyingi sana za karibu mashindano yote Duniani nimeona mafundi wengi sana wa mpira lakini Messi ni kipaji ambacho kinastahili kustaafu na World Cup mkononi.
Umeandika vizuri Sana Kaka umejitofautisha na wale mashabiki waliotokana na uzao wa kubetMessi ni mfano wa mazumizi sahihi ya akili katika soka....sio mazoezi mengi bali ni kitu halisi alichobarikiwa akifanye katika ulimwengu wa soka......Ronaldo ni mchezaji wa daraja la juu sana Duniani naheshimu mchongo wake katika soka na mimi ni shabiki wa Man Utd toka enzo za kina Roy Kean,Jaap Stam....mpaka leo.
Nimeangalia mechi nyingi sana za karibu mashindano yote Duniani nimeona mafundi wengi sana wa mpira lakini Messi ni kipaji ambacho kinastahili kustaafu na World Cup mkononi.
Na mind you Mechi ya poland Messi alikuwa Man of the match pia akaamua kumpa Mac allister so zingekua 5 mpaka sasa.
Kiukweli hiyo taarifa hata mimi sijabahatika kuiona, nilichokiona ni hikiyani aliamua kumpa Mac alister mwenyewe? π€£ π€£ π€£ π€£ π€£
Chawa wa Messi ni hatari sana
Wote bora kwa muda wao huo muda wote wanachezea wapi wakati sheria na taratibu zingine ni mpya? πππYupi ni bora wa muda wote?
Huyu Mbape naona damu inachemka muda woteWalid Regragui: Nampenda huyo kijana mdogo Mbappe. Itanifanya nifurahi sana nikiona akishinda hili taji la WC, atakuwa anajiweka karibu na kile alichokifanya Pele