Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kuzuia pombe viwanjani ilisaidia
Screenshot_20221216-105102~2.png
 
Tayari washaanza kusema messi anaandaliwa😀😀 mti wenye matunda hupigwa mawe, wanamkubali ila hawajionyeshi hadharani.
Mioyoni wanampenda ila machoni wanamkataa
Kwani wewe hujui hater ni mtu ambaye anamuadmire mtu sema tu anashindwa kuwa kama yeye au kile cha kwakwe anatamani kiwe kama cha yule anayemhate?
 
Messi ni mfano wa mazumizi sahihi ya akili katika soka....sio mazoezi mengi bali ni kitu halisi alichobarikiwa akifanye katika ulimwengu wa soka......Ronaldo ni mchezaji wa daraja la juu sana Duniani naheshimu mchongo wake katika soka na mimi ni shabiki wa Man Utd toka enzo za kina Roy Kean,Jaap Stam....mpaka leo.
Nimeangalia mechi nyingi sana za karibu mashindano yote Duniani nimeona mafundi wengi sana wa mpira lakini Messi ni kipaji ambacho kinastahili kustaafu na World Cup mkononi.
 
Na hii ndio sababu team Ronaldo wote tumeamia kwa Messi japo mara hii tu kumpa heshima yake... Jamaa anasitahiri achukue would cup
 
Messi ni mfano wa mazumizi sahihi ya akili katika soka....sio mazoezi mengi bali ni kitu halisi alichobarikiwa akifanye katika ulimwengu wa soka......Ronaldo ni mchezaji wa daraja la juu sana Duniani naheshimu mchongo wake katika soka na mimi ni shabiki wa Man Utd toka enzo za kina Roy Kean,Jaap Stam....mpaka leo.
Nimeangalia mechi nyingi sana za karibu mashindano yote Duniani nimeona mafundi wengi sana wa mpira lakini Messi ni kipaji ambacho kinastahili kustaafu na World Cup mkononi.
Umeandika vizuri Sana Kaka umejitofautisha na wale mashabiki waliotokana na uzao wa kubet
 
Back
Top Bottom