Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mbappe akitaka kukaribia level za messi inabidi aende la liga
La sivyo atakua tu mchezaji bora ila hatakaa apate ballon d or
na hawezi kuja kupata Ballon d hata tatu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… akijatahidi sana atapata moja au mbili
 
Kolo muani na marcus thuram wapewe lawama, wamewazamisha wenzao...
Marcus thuram alikuwa anacheza mpira wa anakwenda anakwenda... Mtu yupo kwenye nafasi haachi.

Same na kolo, ule mpira utulivu kidogo tu angempasia Mbappe..

Nadhani walikuwa wanataka kila mtu amalize game aimbwe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…