Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina vamosssssssssss
I can't believe hii ndoto imetimia hadi machozi ya furaha yametutoka jana
 
Messi kafunga magoli mawili jana
Okay, so since 1966 ni miaka mingapi au world cups ngapi zimechezwa, hakuna aliyefanya hiyo kitu, hata Messi na Ronaldo pamoja na ubora wao wote, na levels kubwa walizofikia hawakuwahi kuset hiyo standard.

Give respect to the boy bwana!
 
Kusema ufaransa bingwa ni utashi wako hakuna anayekuzuia

Mtu yeyote anaweza kusema timu anayoipenda itakuwa bingwa kama ulivyofanya

Watu wanamwita messi ni mchezaji bora wa muda sio kwasababu ya mapenzi au mahaba

Messi kwa miaka ishirini hajashuka kiwango

Katika miaka yake mitano ya kwanza katika professional football

Messi alishachukua mchezaji bora wa dunia zaidi ya mara mbili

Alishacheza fainali ya kombe la dunia akapoteza

Simdharau mbape wala sio kwamba simheshimu ni kijana mzuri anajitahidi

Ila kwa uchezaji wake hawezi kushine afikie nusu ya mafanikio ya messi

Ajenge kwanza heshima kwenye klabu,timu za taifa ni mechi chache mno kwa mwaka hazizidi kumi
Ndio maana mfungaji bora wa muda wote kwenye timu za taifa anatokea sijui iran uko hata hajulikani

Pale psg,mbape yupo na messi na neymar,hawa wanaugomvi mkali sana itakuwa ngumu kutoboa wakiwa wote
2026 Ufaransa ni bingwa.

Kuna mtu anacheza legelege bila nguvu kutumika!?
Wivu huo.

Kijana ni exceptional sana.

Huyo Messi katika umri wa Mbappe alishachukua kombe la dunia?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Henry anaenda barcelona anaenda kumalizia mpira alikuwa na umri gani baadae akakimbilia usa
 
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi bwana mdogo Messi angestaafu bila kombe la Dunia ingekuwa ni jeraha lisilopona kwa wapenda mpira
 
Kuna ule mpira comman anampokonya messi mpira unaenda kuzaa goal sijawahi kushuhudia makosa yale yakifanywa na messi [emoji16]

Anaweza kwenda km kocha mchezaji anacheza dkk chache km ronaldo alivyofanywa msimu huu
Kweli jamaa kuumia nadra sana
Ila 2026 sidhan kwa jinsi anavyotroti sahv miaka mi4 mbele itakuwa ni lawama
 
Rukuta Tukutaneni wadau aseee
Tujimwaye mwayeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…