Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Are you serious bro?sitaki kuamini kama wewe ni die hard fan wa football never ever
Okay, so since 1966 ni miaka mingapi au world cups ngapi zimechezwa, hakuna aliyefanya hiyo kitu, hata Messi na Ronaldo pamoja na ubora wao wote, na levels kubwa walizofikia hawakuwahi kuset hiyo standard.
Give respect to the boy bwana!
Ulichagua wapi na wewe 😂😂😂Little Magician alikua na jambo lake...Bobyyy🥺
Wewe si wa kunifanyia hivi 💔
2026 Ufaransa ni bingwa.
Kuna mtu anacheza legelege bila nguvu kutumika!?
Wivu huo.
Kijana ni exceptional sana.
Huyo Messi katika umri wa Mbappe alishachukua kombe la dunia?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hahaha Messi na ma boys wake jana wamefanya weekend iishe safi sanaaa ujue...Captain hadi wewe unanisaliti kweli?😂💔
Kwa nini umeweka nadharia kwamba France hawezi fika fainali kwa miaka ishirini ijayo? Ndugu, wenzetu wana mikakati, wana mipango na wanawekeza, wanavutia talents kutoka mataifa yote duniani.
Uchezaji wa Mbappe na Henry una tofauti gani technically? Mbona Henry alicheza vizuri kwa mda mrefu sana?
Bar tuliyokua tunaangalia hii fainali kulikua kumejaa washabiki wa France na wapambe wa CR7; wakati Argentina wanakabidhiwa kombe tulijikuta tumebaki watu watatu na ndo tulikua washabiki pekee wa Argentina.
Tulishangilia mpk sauti zilikauka.
Wengi walitamani France ashinde ili Messi asimfunike CR7 lkn maombi ya wachache yalishinda.
Bado naendelea kumtukuza Mungu kwa Argentina kubeba kombe.
Kweli jamaa kuumia nadra sana
Ila 2026 sidhan kwa jinsi anavyotroti sahv miaka mi4 mbele itakuwa ni lawama
Ahsante sana
Bingwa atakuwa Brasil [emoji3578] suala la muda tuNilipoteza fahamu
Nilipata heart attack[emoji174]
Tukutane 2026
France Mabingwa wateule[emoji1073][emoji1073][emoji1073]
Nipoze machungu basi my darling Captain 😂Ulichagua wapi na wewe 😂😂😂Little Magician alikua na jambo lake...
YNWA
Kwa ule uchezaji wao wa maringo hawatachukua,hadi wamebadilika.Bingwa atakuwa Brasil [emoji3578] suala la muda tu
Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
Nianze kumpa shikamoo tukikutana mtaani?Give respect to the boy bwana!
Basi umefurahi mwenyewe 🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sikukuona mwishoni ndiyo maana
Si tunaongelea mpira mkuu, au wewe unaongelea nini🤣🤣Nianze kumpa shikamoo tukikutana mtaani?
Hii furaha inaweza kwenda hadi Mwakani panapo Majaliwa.Basi umefurahi mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uandishi wa nini?Mie sijui kama ni mlevi ila nimependa uandishi wake.
Tukutaneni wadau aseeeNawapongeza mashabiki wa argentina wote humu jamii forum
Safari ilikuwa ngumu lkn Mungu wa mbinguni alitupigania
Nimesoma comments zote nikiri wazi mashabiki wa argentina mpira wanaujua
No panic
No matusi
No hate language kwa wachezaji
Tulipofungwa mechi ya saudi arabia ndio nilifurahi sana ile ilikuwa ni wake up call kwa wachezaji walibadilika sana
Baada ya hapo mechi zote tulicheza vizuri mpaka jana
Makosa ya ottamend kusababisha tuta ndio kuliwarudisha ufaransa mchezoni
Maturity ya timu ilistahimili kipindi kigumu baada ya kusawazisha ufaransa
Mungu awabariki sana
Ningependa Christmas au new year tukutane tupate lunch km mshikamano, football huleta urafiki,undugu,upendo ujamaa
Kuna mashabiki washamba na wasio jua mpira wanamuita messi mfupi
Urefu wa messi ni 169cm na hiki ndicho kimo cha watanzania wengi tena wengi wanaishia 150cm
Ukiona shabiki anamshambulia mchezaji kwa lugha ya maumbile yake kwa chuki ujue huyo siyo mtu wa mpira ni kahaba aliyevamia mpira
Yote kwa yote football is a beautiful thing wandungu
Ile moment argentina anaongoza mbili kuna mzee alitoa ofa watu wanywe bia mbili wote
Ile bar ilikuwa na vibe
Ufaransa walipokuja kuchoka akainuka mfaransa akamlipa mzee bia zikatembea
Messi alipotuinua mzee wa argentina akatupiga round tena basi ikawa hivyo
Ni siku nyingine ambayo sitahisahau I love football