Nasema Hv
Hakuna team ya compete na BRAZIL world cup hii
Nnachojua ni BRAZIL anaenda kuchukua world cup ya 6 baada ya miaka 20 tangu achukueView attachment 2414710View attachment 2414711
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya tiba mbadala sio😂😂SAĎIO lazima awepo kwenye kikosi kocha msaidizi wq bayern alisema jeraha alilopata siyo kubwa sana kwa siku zilizobaki akitumia miti shamba yetu mbona mapema tu anakuwepo
Team Argentina [emoji1033] gonga like
Vamos [emoji123]View attachment 2414851
View attachment 2414852
Kwenye pombe hapo kuna vichwa vigumu hawataelewaWenyeji Qatar wamepiga marufuku mambo kadhaa yafuatayo yasifanyike hadharani kwani ni kinyume na tamaduni zao;
Unywaji wa pombe hadharani
Mapenzi ya jinsia moja
Kupigana mabusu hadharani
Senegal ana nafasi ndogo sana ukumbuke yupo kundi moja na Holland pamoja na Ecuador Holland ni bingwa wa kuua mechi na ana uzoefu mkubwa wa kucheza kombe la Dunia Ecuador anatokea south America heshimu sana timu inayotokea south America hasa hiz ambazo unaona hazina majina makubwa mara nyingi Huwa zinatoa surprise kweny kombe la Dunia Rejea alichofanya Uruguay 2010 Rejea alichofanya Colombia 2014 Rejea alichofanya Costa Rica 2014 Rejea alichofanya Chile Kifupi Senegal ana nafasi ndogo sana ya kucheza 16 BoraNgoja tutunze risiti
Senegal anaprofile kubwa sana mkuuSenegal ana nafasi ndogo sana ukumbuke yupo kundi moja na Holland pamoja na Ecuador Holland ni bingwa wa kuua mechi na ana uzoefu mkubwa wa kucheza kombe la Dunia Ecuador anatokea south America heshimu sana timu inayotokea south America hasa hiz ambazo unaona hazina majina makubwa mara nyingi Huwa zinatoa surprise kweny kombe la Dunia Rejea alichofanya Uruguay 2010 Rejea alichofanya Colombia 2014 Rejea alichofanya Costa Rica 2014 Rejea alichofanya Chile Kifupi Senegal ana nafasi ndogo sana ya kucheza 16 Bora
Safi sanaMwanadada Salima Mukasanga kutoka Rwanda ni miongoni mwa marefarii watatu wa kike kuchaguliwa kuchezesha mechi za Kombe La DuniaView attachment 2416812