Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nasema Hv

Hakuna team ya compete na BRAZIL world cup hii

Nnachojua ni BRAZIL anaenda kuchukua world cup ya 6 baada ya miaka 20 tangu achukueView attachment 2414710View attachment 2414711

Sent using Jamii Forums mobile app

Wakikitana na watu wenye roho mbaya kama kina depaul wanalala vizuri tu, defense yao haipo vzr ukianza na silva, Marquinhos washachoka, bado wana watoto wengi ambao hawana experince ya kutosha wakikutana na timu yenye defense nzuri hawatoboi asee
 
Team Argentina [emoji1033] gonga like
Vamos [emoji123]
IMG_7704.jpg

IMG_7703.jpg
 
Wenyeji Qatar wamepiga marufuku mambo kadhaa yafuatayo yasifanyike hadharani kwani ni kinyume na tamaduni zao;

Unywaji wa pombe hadharani

Mapenzi ya jinsia moja

Kupigana mabusu hadharani
Kwenye pombe hapo kuna vichwa vigumu hawataelewa

Wazungu ni vichwa vigumu mno,zanzibar waliwah mwagiwa tindikali lakin hawakomi mpaka leo wanavaa vichupi
 
Ngoja tutunze risiti
Senegal ana nafasi ndogo sana ukumbuke yupo kundi moja na Holland pamoja na Ecuador Holland ni bingwa wa kuua mechi na ana uzoefu mkubwa wa kucheza kombe la Dunia Ecuador anatokea south America heshimu sana timu inayotokea south America hasa hiz ambazo unaona hazina majina makubwa mara nyingi Huwa zinatoa surprise kweny kombe la Dunia Rejea alichofanya Uruguay 2010 Rejea alichofanya Colombia 2014 Rejea alichofanya Costa Rica 2014 Rejea alichofanya Chile Kifupi Senegal ana nafasi ndogo sana ya kucheza 16 Bora
 
Senegal anaprofile kubwa sana mkuu
Kwa huyo Ecuador labda itokee tu bahati

[/ATTACH]
 
Attachments

  • Screenshot_20221105-160046.jpg
    Screenshot_20221105-160046.jpg
    70.4 KB · Views: 10
  • IMG_20221113_113213.jpg
    IMG_20221113_113213.jpg
    68.9 KB · Views: 11
Haya nimezisaka mpaka nimezipata japo sijajua jina official ila ndio hizo font Qatar 2022
Pakua hapa👇👇👇

Mimi tayari natumia ndio maana nimeleta hapa
 
Attachments

  • Screenshot_2022-11-14-13-23-16-319-edit_org.telegram.plus.jpg
    Screenshot_2022-11-14-13-23-16-319-edit_org.telegram.plus.jpg
    87.7 KB · Views: 10
Back
Top Bottom