Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Madrid huwa anajiamini sana Kuna wakat mpaka Sub huwa anagomea anataman aendelee kukiwasha tu Ila Brazili naona Ni taofauti kidgo sijui kwakuwa anacheza Na mastaa wengi?Hata mie hivyo aisee
Ametoka sahv timu nzima inashambulia Kama nyukiNdio huwa ana i cost timu
Huyu kjn kwnn sijui htak kucheza sometimes mpr direct kwn hamuoni Vini alivo direct asee.. Sometimes Neymar anawakosesha wenzake kupata magoal mda mwng yy anaangaika na chenga tu kila sehem.. Vini anapiga chenga za maana yuko direct na mpr wake
Neymar alituchelewesha Sana[emoji4]Sio kwa msako huu,
Mwaka 2004 Ureno ikiwa na akina Figo, Deco nk kwenye UERO ya moto kweli. Kocha Scolari aliiamua kumtoa Figo wakati ndio alikuwa star hatari na timu inatafuta goli la ushindi. Baada ya kutoka dk 5 Ureno wakapata Goli.Baada ya neymar kutoka tunaona Brazil inavotawala Sasa hapo mbele[emoji4]
Jf ina wahengaaMwaka 2004 Ureno ikiwa na akina Figo, Deco nk kwenye UERO ya moto kweli. Kocha Scolari aliiamua kumtoa Figo wakati ndio alikuwa star hatari na timu inatafuta goli la ushindi. Baada ya kutoka dk 5 Ureno wakapata Goli.
Ubingwa ulienda kwa Greece [emoji1112] kwa kumtandika Portugal [emoji1201].
Ile Ugiriki sitoisahau kamwe.
Unamaana gani unaposema Mahali?Hili goli unaweza kulitumia kama Mahali
Si haba tupo.Jf ina wahengaa
Wewe ni mchambuzi wa mpira?Hawa Brazil hamna kitu. Wakikutana na Japon,hawatoboi. Mpaka sasa Saud Arabia ndo team iliyocheza vizuri kwa kweli.
Neymar kacheza vizuri jamaa walikua wagumu kufunguka nyuma wew huoni goli la kwanza limeanzia mguni mwake Neymar ndio mchezaji Bora wa BrazilKu....ba....bake neymar
Amekosesha wenzake goli nyingi sana
Leo zisingekosekana hata 5
anatumia mafao ya soka huoni ana kitambi kabisaHivi asamoah amestaafu mpira huko Ghana au? Maana naona anachambua hapa
Najua ni mchezaji mzuri hata akiwa Barcelona ila kwa Leo kuna mambo ya kibinafsi alifanya na kukosesha team magoli flan .Neymar kacheza vizuri jamaa walikua wagumu kufunguka nyuma wew huoni goli la kwanza limeanzia mguni mwake Neymar ndio mchezaji Bora wa Brazil
HapanaSorry mkuu,wewe ndo mireni wa frate na mshindi na eriki?
So hachezi national team team tena?anatumia mafao ya soka huoni ana kitambi kabisa