Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mm Wala sioni shida ya Ronaldo wala messi Ni chuki tu kwa mafanikio yake ndio husda kwa wengi ila mm mreno Yuko Safi Sana nampenda Sana Kama nilivyompendaga Luis Figo enzi hzo
Kwa nn asisemwe Messi kama ni chuki tu?
Mapenzi kwa mtu yasiwapofushe na kuukataa ukweli
 
Naona umekomalia mada zako sasa
[emoji1] soka hakuna tena

Ova
 
Huyu tolu anaendana na Twaha kiduku

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Hayo ya kujiskia me wala siyajal kwa kuwa hata mimi nina ego...
Ila ukweli usemwe he is a member of the [emoji304] club
Inaingia akili maana kuna mtoto alizaa mkewe kwenye chupa means hawakukutana kimwili
 
Inaingia akili maana kuna mtoto alizaa mkewe kwenye chupa means hawakukutana kimwili
Wazungu maisha yao ni ya ajabu sana
Mnaweza ishi nyumba moja kwa sababu maalumu tu na kila mtu akawa na wake ampendae so wao kuishi pamoja na mkewe me bado kwangu sio sababu ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…