Halafu kuna takata hapa anawaita Brazil takatakaBrazil ndo team pekee itakayomaliza kwenye msimamo wa kundi kwa Alama zote 9 Bila kuruhusu goal
Sent using Jamii Forums mobile app
Alitaka apite aende wapi kufanya niniNdio world cup yake ya mwisho
Australia mkuu, walihama Oceania siku hizi wapo Asia.Japan, korea kusini na ipi?
Na zile full backsGhana ni Kudus tu wengine wote takataka
Jordan mzuri ila yule Kaptain ambaye ndie mkubwa anayecheza nadhani uarabuni ni hovyo sanaYule kocha ni senge kabisa watu wa maana kawaweka nje. Anachezesha yule mtt Jordan sikapendi kapumbavu long time. Kaka yake naye kapiga penati kama ana kipisi cha uume makalioni
Sema nimefurahi kazama na adui, bora tufe wote. Japo hata angefuzu, angeenda kukutana na Brazil wangechezea kichapo kizito.
Hayo mambo yanawezekana pale jangwani tu.Hawa Ghana hawakutumia fursa hapo Benchi zingekutana haraka haraka watu wakafanya Transfer ya Pesa chap chap kwenye akaunti za watu alafu goli likafungwa...., nadhani hawana quick thinking....
Usikute Ghana amemuogopa brazil, akaona mh wasije pata aibu ya karne.Yule kocha ni senge kabisa watu wa maana kawaweka nje. Anachezesha yule mtt Jordan sikapendi kapumbavu long time. Kaka yake naye kapiga penati kama ana kipisi cha uume makalioni
Sema nimefurahi kazama na adui, bora tufe wote. Japo hata angefuzu, angeenda kukutana na Brazil wangechezea kichapo kizito.
Heri yako wewe wa mjiniHuo ni ushamba sasa
Afrika = 2 ?
Amerika kusini = 2
Amerika kaskazini = 1
Australia = 1
Asia = 2
Ulaya = 8 ?
Nimefurahi kuona chozi la suarez...
Brazil akisoma upepo ya nini kubania Africa😀😀😀😀😀Cameroon leo mmmh ngoja tuone km Brazil atakufa
Cameroon hawezi kumfunga BrazilCameroon leo mmmh ngoja tuone km Brazil atakufa
unadhani kwanini mechi za mwisho zote zinacheza wakati mmoja ?Hayo mambo yanawezekana pale jangwani tu.
Kuna mechi fix kibao kwenye hilo kombe la dumia