Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Yule kocha ni senge kabisa watu wa maana kawaweka nje. Anachezesha yule mtt Jordan sikapendi kapumbavu long time. Kaka yake naye kapiga penati kama ana kipisi cha uume makalioni
Sema nimefurahi kazama na adui, bora tufe wote. Japo hata angefuzu, angeenda kukutana na Brazil wangechezea kichapo kizito.
 
Bado zamu ya Senegal kutufanyia kama hivi. Anyway, wacha tusubiri chama kubwa el brasilia litupe raha.
 
Yule kocha ni senge kabisa watu wa maana kawaweka nje. Anachezesha yule mtt Jordan sikapendi kapumbavu long time. Kaka yake naye kapiga penati kama ana kipisi cha uume makalioni
Sema nimefurahi kazama na adui, bora tufe wote. Japo hata angefuzu, angeenda kukutana na Brazil wangechezea kichapo kizito.
Jordan mzuri ila yule Kaptain ambaye ndie mkubwa anayecheza nadhani uarabuni ni hovyo sana
Leo Ghana aidha wamegoma au form ya Kudus, Partey na Jordan Ayew imekuwa hovyo
 
Hawa Ghana hawakutumia fursa hapo Benchi zingekutana haraka haraka watu wakafanya Transfer ya Pesa chap chap kwenye akaunti za watu alafu goli likafungwa...., nadhani hawana quick thinking....
Hayo mambo yanawezekana pale jangwani tu.
 
Yule kocha ni senge kabisa watu wa maana kawaweka nje. Anachezesha yule mtt Jordan sikapendi kapumbavu long time. Kaka yake naye kapiga penati kama ana kipisi cha uume makalioni
Sema nimefurahi kazama na adui, bora tufe wote. Japo hata angefuzu, angeenda kukutana na Brazil wangechezea kichapo kizito.
Usikute Ghana amemuogopa brazil, akaona mh wasije pata aibu ya karne.
 
Back
Top Bottom