Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hizi game za kutoka droo za kifala.. tushaweka G-G sisi..
 
🤣🤣 jamani siishi Dar

Napoishi na wewe ulipo nauli efu 25/23 shabiby 😁😁
Weee kumbee 😆 nimeshapajua. Basi hapo sawaaa ukija kwangu utachemshiwa kwny sufuria kubwaaaa.
 
Back
Top Bottom