Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Ndiyo sisy 🤣Ulitaka umeme uoge? 😆 😆 😆
Sasa asubuhi naogaje maji baridi jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo sisy 🤣Ulitaka umeme uoge? 😆 😆 😆
Sasa Africa nani atashabikia? Mm ni Mbrazili pyuaaaa.. sema nakua na Africa pia 😆 😆 😆 😆Kwanini usitafte timu nyingine mkuu?
Nifundishe kubetHizi game za kutoka droo za kifala.. tushaweka G-G sisi..
😁😁 kwanini ujipe pressure wakati sehemu ya kupata raha ipoSasa Africa nani atashabikia? Mm ni Mbrazili pyuaaaa.. sema nakua na Africa pia 😆 😆 😆 😆
Jamani Daslamu unaoga maji ya moto???.kweli mdogo wangu ww ni mlaini sasa ukija huku nilipo si utakua hauogi? Na umeme huuNdiyo sisy 🤣
Sasa asubuhi naogaje maji baridi jamani
Kuweni wazalendo na bara lenu jamani 😆😁😁 kwanini ujipe pressure wakati sehemu ya kupata raha ipo
No way aisee.. Sitaki kabisa ujaribu..Nifundishe kubet
🤣🤣 jamani siishi DarJamani Daslamu unaoga maji ya moto???.kweli mdogo wangu ww ni mlaini sasa ukija huku nilipo si utakua hauogi? Na umeme huu
Nifundishe bana 😋No way aisee.. Sitaki kabisa ujaribu..
Siwezi kuwa mzalendo kwa kitu kinachoniumiza mkuu, unataka nife mapema na magonjwa ya pressure ya kujitakia 😎😎😎Kuweni wazalendo na bara lenu jamani 😆
🤣🤣🤣🤣🤣Kayoko muda wote anafoka utasema kachukuliwa demu
Weee kumbee 😆 nimeshapajua. Basi hapo sawaaa ukija kwangu utachemshiwa kwny sufuria kubwaaaa.🤣🤣 jamani siishi Dar
Napoishi na wewe ulipo nauli efu 25/23 shabiby 😁😁
Please msikilize mad max achana na betting, tuachie sisi tulioizoeaNifundishe bana 😋
Mwambieni asije changanyikiwa bado mdogoPlease msikilize mad max achana na betting, tuachie sisi tulioizoea
Morroco wanakichfua eeeHii
Kama sio 1-0 basi ni droo ya 1-1
Morocco anashinda
Nitaku 📥 baadae.Nifundishe bana 😋
Siku hz wadada weng ni wapenz wa mpiraKbe hapa naweza pata warembo wakwemda nao taifa kucheki magame ya yanga na simba...safi sana. Wee upo na timu gani world cup hii?