vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Team australia this afternoon [emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Navyoona tunisia tunatoka leo. Sijawaelewa badoBoring match dkk 14
Navyoona tunisia tunatoka leo. Sijawaelewa bado
Kwani game ya England vs Marekani imeishaje?
Dah rais wao anawapa maneno tu na wanajituma 😞Raisi wa Ecuador amewataka wachezaji wa timu ya taifa walipambanie taifa lao na kuiletea heshima nchi yao. Wana point 4 mechi yao ya mwisho wanacheza na Senegal.View attachment 2427790
Dah rais wao anawapa maneno tu na wanajituma [emoji20]
Wenzao mechi moja nyumban sikukuu na kila mchezaji ndinga
Hawa jamaa pic yao imeniletea hisia sanaSaudia wamemwaga ndinga [emoji16]
Ni heri wangewaacha hapo ndo wameharibuSaudia wamemwaga ndinga [emoji16]
Kumbe Aus wakali! Mbona siku ile na Ufaransa walikuwa nyonde sana?
Ni heri wangewaacha hapo ndo wameharibu
Watafungwa mechi zijazo zote