Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Waarabu wa northern africa hapo unatudanganya
Lini walifanya vizuri kuliko afrika magharibi
Kwa mara ya kwanza katika WC 2022 sijaweza angalia mpira kwa dakika zote, baada tu ya half time nikaona mchezo wa Ghana nikajua hapa Hamna kitu nikasepa

Yaani wanaridhika kama wameshinda, na ni kama walienda kutafuta draw badala ya kushinda.

African teams ni hovyo, except Waarabu wa Northen Africa
 
Back
Top Bottom