lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 17,951
- 23,705
You are right, Ghana hawakufanya jitihada yeyote haifai kuwashukuru, Mashujaa wetu hapa ni Korea ya Kusini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are right, Ghana hawakufanya jitihada yeyote haifai kuwashukuru, Mashujaa wetu hapa ni Korea ya Kusini
Ndo elewa sasa kinachozungumza hapo hata kama ni baraAustralia si bara?
Kamsindikize airport chapu[emoji23][emoji23]
Unakurupuka tatizo soma tena nilichoandikaGermany alivyomponda 7 ilikuwa Germany wanatoka America?
CareerPole sana suarez criteria yako ndo inaelekea mwishoni
Atakuwa amehesabu na Australia [emoji1037]Japan, korea kusini na ipi?
Yaniiiii mambo hayatabirikiiiiii! Hatariii sanaMpaka bingwa hajulikani mara paaaap kombe lileeeeeeeee JPN
Suarezzzz kama nakuona ulivo na Ussshuunggguu 🤣🤣🤣🤣!Kamsindikize airport chapu[emoji23][emoji23]
Teh teh teh teh 😂😂 hii kali..I hate that man so called Suarez ,jamani simpendi Mungu anisamehe ila Toka Lile tukio nikimuona naskia hasira mnoooo
Kule Ghana ujinga wao ndo uliwaumiza na si vinginevyo, maana walipewa penati wakakosaSuarez analia km ghana walivyolia africa kusini
Karma is really [emoji16]
Wanajitambua sana hao Korea na ndugu zao japan. Hicho ndo kilichofanyika.. sio sisi Waafrika tumekalia ujingaujinga tu na majunguView attachment 2433733
Nini kimeifanya Korea Kufuzu?
Kwa mara ya kwanza wamepeleka timu 3 mtoanoHawa macho madogo wanajituma sana wanastahili hiki walichopata hata kama wasingepita
[emoji28][emoji28][emoji28]Yani ni kama hata uogejee mjini huendi ndio Uruguay leo[emoji1787]
Leo ndo alitakiwa avunjwe taya nashangaa wamemuacha anacheza na analalamika juu! Afrika sisi tutaishiaga hivihiviI hate that man so called Suarez ,jamani simpendi Mungu anisamehe ila Toka Lile tukio nikimuona naskia hasira mnoooo
Ila mlikosa wenyewe penatiGhana kisasi bado, Mungu akijalia hata wajukuu watakuja kulipiza kisasi cha 2010
Hii ni deni bado. walitudhalilisha sana
Ndo ule ujinga wa bora tumefeli woteWachambuzi tz wanafurahia eti Uruguay naye katoka..
Bila kujiulaumu kwamba Uruguay ndiye kamzuia Ghana aliyekuwa na chance zaidi angeshinda..
Kwa mara ya kwanza katika WC 2022 sijaweza angalia mpira kwa dakika zote, baada tu ya half time nikaona mchezo wa Ghana nikajua hapa Hamna kitu nikasepa
Yaani wanaridhika kama wameshinda, na ni kama walienda kutafuta draw badala ya kushinda.
African teams ni hovyo, except Waarabu wa Northen Africa
Kwamba wawape liftNawashauri Ghana wawasubiri ndugu zao Cameroon Airport muda c mrefu wataungana
Sent using Jamii Forums mobile app