Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Naku elewesha tena ndugu mkono ahuusiki kwenye mpira zaidi ni goli kipa Tu ivo vidole vipo kichwani?? Si mkononi ile penati ya mwisho ya France si mchezaji wa ARGENTINA MABINGWA WA DUNIA mpira ulizuiliwa na mkono ndio ikawa penati mbape akafunga kama mkono unahusika ile penati ilitokana na nini?
Mkono ndio ulileta penati autakiwkucheza mpira kama ni ivyo ile penat ya kunawa ya france basi sio halali au jibu ile penat ilitokana na nni?
Baki na Miss penati wako, usinipangie ninachoamini maana hatuwezifanana mitazamo sawa duniani kote.

Chukua [emoji115][emoji115] hiyo kwa faida zaidi ya afya ya akili yako.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mungu nimekuita kwa ajili ya Argentina tangu waaibike kwa mechi ya saudi na nikauona ukuu wako. Mungu naomba leo ukajidhihirishe tena ili hata asiyekuamini akuamini. Wapatie Argentina ushindi. Nitarudi hapa baada ya ushindi. Maana Mungu niliyemuita Mungu wa mama yangu hawezi niabisha. Watch and see His greatness
Ombi lako limeshajibiwa mama🙏
 
Mashabiki wa cr7 ni mashoga wote
images - 2022-12-10T232622.063.jpeg
 
Karibu chesii- EPL
Ingawa tunapitia msoto flan hivi

Karibu UEFA
Real Madrid + chesii


Soon nanunua jesi ya atheno,, nina mubebe pale aitwa Saka na Jesus
Cc yesamrich
 
SCARS hii offside unaizungumziaje Chifu, ni kweli ilikuwa offside au na mimi nina chuki binafsi kama mazumbukuku ya Miss penati na mbeleko FC/Argentina [emoji116][emoji848]View attachment 2451096

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwa mujibu wa hiyo picha mkuu upo sahihi kwa maana uki zoom kuna vidole vinezidi hapo

Na hiyo sijui ndio ile shambulizi lililookolewa golini ambapo line 2 alinyoosha flag kuashiria ni offside wakati mwamuzi wakati akiruhusu mpira uanze kati ikiwa na maana amekubali no goli
 
Back
Top Bottom