Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kante angekuwepo, Argentina asingebeba hilo kombe
Mark my words
 
Kante angekuwepo, Argentina asingebeba hilo kombe
Mark my words
 
Hii ilikuwa Msg kwenu wenye chuki
FB_IMG_16713922817017769.jpg
 
Kipa gani huyo aliwekwa benchi kule Arsenal na Aaron Ramsdale! Hakuna kipa pale ni bahati tu France hawakuwa kwenye form yao
Form gani hiyo mpk dk 80 walionekana kupagawa..... Walinasa kwenye mtego.

Kingine kipa kukaa benchi Haina maana Ni mbovu Rudi nyuma Dida vs Tafarelli WC 2002, Je Dida alikuwa mbovu ?
Kombe la tatu mfululizo DIBO akiwa kwenye miamba mitatu, Sasa ww endelea kuongelea bahati.

Mpira haunaga bahati hata chembe... Ukiona watu wanakimbia jua wanatafuta ht km kwa kuunga unga Sasa wewe kumbatia Bahati .
Soka Haina bahati mzee kuhaha Hadi ipatikane.
Ova
 
Aguero kasema ana heart problems ndomn kastaafu lakin alimbeba pessi juu juu huku anatrot,kapiga mangoma karukaruka kafanya vurugu zote na sjaskia akilala moyo wauma[emoji848]

Hayupo kama mwanzo kabisa, Kun amepoa na anajitahidi kufuata maelekezo ya doctor wake.
Hata kwenye mikwaju ya penalty hakutizama kabisa pia shangilia yale ni ya kawaida kuliko tulivyo mzoea.
 
Back
Top Bottom