Arnold Schwarzenegger: Heaven is 'Fantasy' and 'Nothing' happens when we die

mungu ni mwanzo asiyekuwa na mwisho.
Kwa nini huyo Mungu ana mwanzo na hana mwisho?

Unathibitishaje mwanzo wake na ulijuaje hana mwisho?

Je hana mwisho kwa vile hujui ana mwisho?

Kwa nini unajua Mungu ana mwanzo, Lakini hujui kwa nini Hana mwisho?
 
mimi swali langu dogo tu.nashindwa kuelewa unapata tabu wapi.sina haja ya kujua maana zake.nimekuuliza kati ya quran na sayansi ipi ya kwanza kuja duniani hilo tu.
Kama huna uwezo wa kujua maana zake ndio utaweza kujua ipi imeanza?

Mjinga wewe
 
Kwa nini huyo Mungu ana mwanzo na hana mwisho?

Unathibitishaje mwanzo wake na ulijuaje hana mwisho?

Je hana mwisho kwa vile hujui ana mwisho?

Kwa nini unajua Mungu ana mwanzo, Lakini hujui kwa nini Hana mwisho?
WEWE AMINI HIVYO.ulimkuta na utamuacha na utakwenda kukutana nae mbinguni na ATABAKI MILELE.mungu alitoka wapi HYO SIO KAZI YETU.
 
It's better to believe there's a heaven because it's not cost full, than not and you find it....[emoji15][emoji15][emoji15]
Tatizo ukiamini inakuwa mwanzo wa upumbavu kuanzia mtu mmoja-mmoja, family, jamii na taifa..

Waliyaleta tuwe wajinga, wao hawaamini na wanaojifanya kuamini ni kimkakati tu

Ingekuwa ukiamini mtu mmoja haina shida tungewaacha muamini, tunawaingilia sababu inakwenda kuathiri jamii

Dini ni mnyororo wa ujinga.
 
Amesema hakuna Mungu?

Kwani kukiwa na Mungu lazima kuwe na pepo?
 
WEWE AMINI HIVYO.ulimkuta na utamuacha na utakwenda kukutana nae mbinguni na ATABAKI MILELE.mungu alitoka wapi HYO SIO KAZI YETU.
[emoji23][emoji23][emoji23] imebidi nicheke maana naona umeishiwa hoja kumwelezea.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] imebidi nicheke maana naona umeishiwa hoja kumwelezea.
na hakuna anayeweza kumwelezea maana hakutaka hilo litokee.hata vitabu vyake 4.vyote hakusema ametoka wapi.ila YUPO.
 
na hakuna anayeweza kumwelezea maana hakutaka hilo litokee.hata vitabu vyake 4.vyote hakusema ametoka wapi.ila YUPO.
Mimi nasema Hayupo lakini, Ngoja tukubaliane Kuto kukubaliana, kila mmoja abakie na mtazamo wake.
 
Vuta picha binadamu wote duniani wangekuwa hawaamini Mungu yupo au hawafati mafundisho ya dini. Watu tungekuwa kama wanyama. Na crime rate ingekuwa kubwa sababu ya kukosa hofu ya Mungu
 
Vuta picha binadamu wote duniani wangekuwa hawaamini Mungu yupo au hawafati mafundisho ya dini. Watu tungekuwa kama wanyama. Na crime rate ingekuwa kubwa sababu ya kukosa hofu ya Mungu
Binadamu hawahitaji dini ili kujua jema.na baya.
Kujua wema na ubaya.
 
Kwa hiyo unaamini kuna moto pia[emoji1]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…