Arranged Marriage (ndoa za kuchaguliwa na familia, ndugu, na jamaa) ndio mfumo sahihi kwa maisha ya dot com

Hata huko vyuoni watakatifu wapo pia..

Pia ndoa ni muunganiko wa familia. Ni bora familia zenye vision moja ziungane.
Sio familia ya washirikina iungane na familia ya watu wa Mungu
Umenena busara kabisa, hongera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…