Josemzampola
Member
- Mar 6, 2023
- 78
- 97
Umenena busara kabisa, hongera.Hata huko vyuoni watakatifu wapo pia..
Pia ndoa ni muunganiko wa familia. Ni bora familia zenye vision moja ziungane.
Sio familia ya washirikina iungane na familia ya watu wa Mungu