Hapa kwa Spurs ni shughuli leo hehehe.....ila hawa watoto uwa tunakawaida ya kuwavurugia parade yao. Ngoma wiki ijayo kwenye derby.
BJ.... ha ha ha, umeadimika sana...
ahsante nishapoa. Game mbili Manchester zimeisha vibaya...
kipigo cha leo hakijaniuma sana kama mlivyotudhulumu siku ile...😀
Ta!
Nipo Mkuu sema nimetingwa flani lakini jf kuchungulia muhimu, ha ha
Kwakweli, mliumia Man walivyowafunga siku ile tena sana tu..Bora wewe umeshapoa na kipigo cha M.City, naona Spurs wameshakarabati goli moja dhidi yetu mpaka sasa.huh!!..Enjoy PL
ha ha ha mkuu bila samahani mie niliongea kama mshabiki kwamba siwezi kulalamikia majeruhi leo kwani sisi ndio tulipoteza focus...
...samahani mkuu Arsene Wenger wa JF, namaanisha ARSENE WENGER (mfaransa) wa Arsenal...
......
Ushangiliaji wa Abedayo ulikuwa wa aina yake kwa mashabiki wa Arsenal!
asante sana mkuu.adebayor alichokuwa anachukiwa imarati ni kuto jituma ,sasa ni vizuri alivyo hama inaweza kumsaidia kwenye kipaji chake kuliko angebaki arsenal na kuendeleza uzembe.alivyokuwa arsenal hakuwa na kitu cha kuprove ,sasa hivi inabidi hawa prove critics wake ambao mimi mmoja wapo kwamba we are wrong.na bado simkubali .Mkuu Mbu na wapenzi wa Arsenal poleni sana kwa kweli. Hii ni AIBU. yani humiliation kabisa!
LAkini hebu niambieni ni kwa nini Adebayor alikuwa anachukiwa hapo imarati? kwa nini mashabiki wakawa hawampendi hadi ikabidi auzwe si kwa kupenda fedha ila 'hali ya hewa kuchafuka'?
sasa mnaona mambo amewafanyia? man of the match, kapiga bao, kaokoa goli la wazi, afu kampiga buti van persie...
Sijui lakini naona Boss Wenger ana kazi ya kufanya....

asante sana mkuu.adebayor alichokuwa anachukiwa imarati ni kuto jituma ,sasa ni vizuri alivyo hama inaweza kumsaidia kwenye kipaji chake kuliko angebaki arsenal na kuendeleza uzembe.alivyokuwa arsenal hakuwa na kitu cha kuprove ,sasa hivi inabidi hawa prove critics wake ambao mimi mmoja wapo kwamba we are wrong.na bado simkubali .
Mashabiki wa Arsenal kukosa shukrani tu. Mbona aliwafungia magoli 46 kwa misimu mitatu (sehemu ya hicho kipindi alikuwa majeruhi). Halafu alikuwa anajituma kweli kweli.
Ushangiliaji wa Abedayo ulikuwa wa aina yake kwa mashabiki wa Arsenal!
...mpwa umetukamia lakini kidogo kidooogo wenzio tunaanza kuzoea 'uteja', au sio wenzangu? ngoma mje mfungwe nyie...usijekimbia tu kama Iniesta alivyowafanya 🙂
mambo Belly! Kumbe upo Man U! naona kweli kagoli kamoja tayari lakini bado mapema,
hwa arsenal hawajajua mtoto hatumwi dukani?
Niliwaambia washabiki wa Arsenal na ChelseA kuwa Ade na Drogba ni watu adimu watu wakabisha. Sasa wenye akili zao Chelsea wamembakisha Drogba, ila huyu Mr. Bean ameonelea ni vyema kumlipa pauni 80,000 kwa wiki van Persie badala ya Ade, sasa ndio hivyo huu msimu ni wa mwisho kwa Fabregas, na Spurs, Aston Villa & Man City can not wait to kick your A$$ out of top four..he he he..Champions league mtaisikia kwenye bomba tu!
Safi tu Kaizer, mzima wewe?!..Yes, mimi ni Man Utd fan mkuu ila naona wewe bado sijakusoma ni ARS nini?!..
Si umeona mechi imeisha tumeondoka na ushindi kama alivyotabiri Eqlypz..
No PM please! salam za hapa hapa KiJF JF....na Kaizer
JOHAN DJOUROU
September 10
Johan suffered a knee injury while on international duty last month and faces a lenghty lay-off. Johan is six to eight months, Wenger said. He had big surgery, and it is a big blow for him and the Club. He will have to be patient this season.
Msimu huu umeanza vibaya....uamuzi not on ur side (mechi na Man U) ....majeruhi....Arshavin angewasaidia sana msimu huu walau mbaki kwenye big five! Maana Ubingwa mhhhhh ....Gallas naye haajaanza kuumia
16 WedUEFA Champions League [Away] Standard Liege 19:45 SS2
19 SatBarclays Premier League [Home] Wigan Athletic 15:00 ATVO
22 TueCarling Cup [Home] W.B.A. 19:45 ATVO
26 SatBarclays Premier League [Away] Fulham 17:30 ESPN
29 TueUEFA Champions League [Home] Olympiacos 19:45 SSX
October
FA
04 SunBarclays Premier League [Home] Blackburn Rovers 13:30 SS1
17 SatBarclays Premier League [Home] Birmingham 15:00 ATVO
20 TueUEFA Champions League [Away] AZ Alkmaar 19:45 ATVO
25 SunBarclays Premier League [Away] West Ham United 16:15 SS1
28 WedCarling CupNRound 4 ATVO
31 SatBarclays Premier League [Home] Tottenham Hotspur 12:45 SS1