Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yeah kweli shangazi 'yangu' hapo juu umenena kweli. Lakin hilo la sisi kucheza vizur then na ku-lose ndo hata wenger mwenyewe anakuambia 'hard to take'.
N way, thanx kwa kutufariji wana-gunnerz!
mie nadhani kipindi cha kwanza hatukucheza vizuri kabisa na ndio maana tulienda half time bila hata shot on goal moja.tulipoteza sana mpira kupitia diaby na wengi walikuwa wanadondoka hovyo.kipindi cha tulicheza vizuri baada rosicky kuingia sema tulipokuwa goli 2-1 watu walipoteza focus kwenye game na kuanza kuanza kutaka kushambulia bila kuwa makini na ukabaji na ndio kiliwapa nafasi man city kwenye counter attacks zake.
timu bado ni nzuri lakini kuna makosa yale yale ya mwaka jana yalitokea kwenye hii mechi na man city.wachezaji wetu wanakuwa so relaxed sometimes utasema sisi ndio tunaongoza sijui kwanini.mara nyingi wanakuwa kwenye moto wakianza kufunga lakini tukianza kufungwa sisi ngoma yetu inakuwaga ngumu sana.
 
jamani karibuni man utd watu wa arsenal..mtakufa na timu yenu kimeo..saiv mmekuwa washika viwembe sasa sio bunduki..
 
Duh kweli naona washika bunduki mdebwedo kweli msimu. washawashwa 2 za haraka haraka.

Hebu ngoja niende kwenye thread ya chama langu la Liver. Maana naona huku hakuna dili...
 
Mashabiki wa arsenal labda mnisaidie swali hili-mwaka huu mtafika popote Champions league? Huu si mwanzo mzuri. Maskini, mnatia huzuni. poleni mwaya.
 
Bora ungesema tuhamie Burnley!
All you people are not true ARSENAL FANS. Please move­­ on to another club - Wenger or no Wenger, win or lose,­­ we love ARSENAL and that's it. Stoke City loses­­ every weekend but their fans stick behind them no­­ matter what. I don't consider you guys real­ ARSENAL­ fans just because the team goes down a couple­ of goals­ or loses a couple of games. LIVERPOOL­ hasn't won­ the league in 19 years. CHELSEA were a­ Top 10 team­ before Roman came with his money. The­ point is - stick­ with your club through thick and­ thin, but especially­ through thin. COME ON YOU­ REDS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!­ Gooner4Life
 
All that begins well, ends well! Inaonekana huangalii match. Ungekuwa unaangalia ungekuwa usha-analyze ukajua kama arsenal wanaweza kusawazisha. Kwa faida yako jinsi wanavyocheza arsenal, kusawazisha labda liege wabaki watano au arsenal wamwingize wenger!
 
Liege 2 - Arsenal 3
 
Duh kweli naona washika bunduki mdebwedo kweli msimu. washawashwa 2 za haraka haraka.

Hebu ngoja niende kwenye thread ya chama langu la Liver. Maana naona huku hakuna dili...
78mins 'GOAL ARSENAL!! The Gunners equalise with a very scrappy and highly contentious goal. Fabregas's free-kick clearly strikes the arm of Song. That keeps the ball in play and he hooks across the face of the goal for Vermaelen to bundle home from two yards.
 
81'GOAL ARSENAL!! An incredible comeback as Arsenal force another corner and Fabregas's delivery literally hits Eduardo's knee cap and flies into the back of the net. 3-2.
 
Mashabiki wa arsenal labda mnisaidie swali hili-mwaka huu mtafika popote Champions league? Huu si mwanzo mzuri. Maskini, mnatia huzuni. poleni mwaya.

Maskini Keen.......... kutia kichwa tu!!!!
 
Come on arsenal!come on arsenal! knew we could come­ back. no doubting wenger. arsenal rock
 
There are so many ways of killing a rat. Ukitaka kujua mashabiki wa timu fulani wewe wachokoze tu. watamwaga sera mmoja baada ya mwingine. Ninahisi crashwise, masanilo na mtm nyie arsenal!
 
all you so called fans who said you would support­ another team can piss off we dont need you.
 
Back
Top Bottom