Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
mie nadhani kipindi cha kwanza hatukucheza vizuri kabisa na ndio maana tulienda half time bila hata shot on goal moja.tulipoteza sana mpira kupitia diaby na wengi walikuwa wanadondoka hovyo.kipindi cha tulicheza vizuri baada rosicky kuingia sema tulipokuwa goli 2-1 watu walipoteza focus kwenye game na kuanza kuanza kutaka kushambulia bila kuwa makini na ukabaji na ndio kiliwapa nafasi man city kwenye counter attacks zake.Yeah kweli shangazi 'yangu' hapo juu umenena kweli. Lakin hilo la sisi kucheza vizur then na ku-lose ndo hata wenger mwenyewe anakuambia 'hard to take'.
N way, thanx kwa kutufariji wana-gunnerz!
timu bado ni nzuri lakini kuna makosa yale yale ya mwaka jana yalitokea kwenye hii mechi na man city.wachezaji wetu wanakuwa so relaxed sometimes utasema sisi ndio tunaongoza sijui kwanini.mara nyingi wanakuwa kwenye moto wakianza kufunga lakini tukianza kufungwa sisi ngoma yetu inakuwaga ngumu sana.