...Ade aligusa 'Raw nerve',...unadhani Arsenal ingeshinda siku ile angefungiwa? ...hawa FA nao wana double standards tu...
yule spoilt brat wa Manure aka Rooney kila siku anakituko kipya uwanjani, kwakuwa ni kipenzi cha SAF na England haguswi...!
Welcome back,ulikuwa na paper nini hizi wiki 3 zilizopitaOhoo umemgusia Rooney? wasubiri akina Belo sasa huyu huwa haguswi, hana baya.
Welcome back,ulikuwa na paper nini hizi wiki 3 zilizopita
Ukweli uko ulaya kuna ubaguzi ,sidhani kama Adebayor anstahili kufungia kisa staili ya kushangilia, fikiria mtu kama Drogba/Diof/Adebayor ndio angempiga shabiki ngumi kama Bellamy alivyofanya nafikiri lazima angefungiwa
asante sana mkuu manake kipa wetu alinitisha kidogo lol.sometime magazeti nayo, huyu alikuwa anarudi shopping na mkewe mmiliki wa hiko kajibwa na alikuwa amebeba mizigo ndio akamwambia amshikie hako kajibwa paparazi wakachukua opportunity.
Welcome back,ulikuwa na paper nini hizi wiki 3 zilizopita
Ukweli uko ulaya kuna ubaguzi ,sidhani kama Adebayor anstahili kufungia kisa staili ya kushangilia, fikiria mtu kama Drogba/Diof/Adebayor ndio angempiga shabiki ngumi kama Bellamy alivyofanya nafikiri lazima angefungiwa
Kaa mkao wa kula, pointi 3 muhimu kama tunataka kupunguza gap, na mechi kama hizi ugenini ndio huwa zinatusumbua....za siku tele waungwana, leo tuna Fullham, pointi tatu ni muhimu.
tumshukuruni manone kwa kipindi cha kwanza.hizo ndio zinaitwa match winning saves kipa anatakiwa afanye sio almunia kila kitu anasindikiza na macho tu.naona ugonjwa wetu wakuwa relax unaendelea (lack of winning mentality).
bendtner mwenyewe analalamika sana kuhusu kupangwa kulia lakini wenger mbishi.angemueka ben kati rvp kulia.Halafu Wenger sijui kwa nini hupenda kumuanzisha Bendtner,yaani jamaa hamna kitu kabisa eti,na huyu Diaby leo ndo kalegea mpaka basi
diaby atoke aingine rosicky.Halafu Wenger sijui kwa nini hupenda kumuanzisha Bendtner,yaani jamaa hamna kitu kabisa eti,na huyu Diaby leo ndo kalegea mpaka basi
safi sana ni sehemu nzuri kuwa hapa kuliko kuwa one goal down.itatupa nguvu.hii ni must win game leo kukava gap.Goooooooooooooooooooaal Van Persie katutoa
sana tu mkuu.dogo nadhani anaweza kumfanya wenger afikirie mara mbili.manake mie naona kafanya saves zote za maana leo.AW umeona Manone alivyocheza huo mpira?,dogo mzuri sana huyu,anacheza vizuri mipira ya krosi