Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
mannone golini mkuu mpaka atakapochemka ndio almunia atarudishwa.dogo anajitahidi sana sasa hivi.
mkuu hapo nakupinga hizo jezi nazipenda sana.yani ukivaa mtaani unatoka powa sana.imetulia...Ila hizo jezi zetu zinaboa mhhhhhhhh
mkuu hapo nakupinga hizo jezi nazipenda sana.yani ukivaa mtaani unatoka powa sana.imetulia.
hizo mbili popular sana na ya england.Na jezi ya World Cup ipi ni poa sana? Najua ya Brazil ndiyo very popular karibu miaka yote na kama sikosei ya France pia.
nice first half .
nice first half .
Nipe tathmini ya 1st half mkuu,mi naona kama game imepooza,sijui kwa sababu nimetoka kuingalia ile adhabu Waliyopewa Man Utd