Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ARSENAL
• Vito Mannone
• Bacary Sagna
• William Gallas
• Thomas Vermaelen
• Gael Clichy
• Alex Song
• Cesc Fabregas (c)
• Abou Diaby
• Emmanuel Eboue
• Andrey Arshavin
• Robin Van Persie
• SUBSTITUTES
• Manuel Almunia
• Mikael Silvestre
• Kieran Gibbs
• Samir Nasri
• Aaron Ramsey
• Nicklas Bendtner
• Eduardo
WEST HAM UNITED
• Robert Green
• Jonathan Spector
• James Tomkins
• Matthew Upson (c)
• Herita Ilunga
• Valon Behrami
• Scott Parker
• Mark Noble
• Jack Collison
• Guillermo Franco
• Carlton Cole
OFFICIAL
• Referee
Chris Foy
 
Almunia ndo kwaheri tena..Halafu habari njema ni kwamba Nasri yuko benchi(kapona) na Eduardo naye kapona.Go Arsenala go>>>>
 
Tunaongoza kwa bao la Persi katika dakika ya 16
 
Van Persie kafunga kiulaiiiiiini,goli zuri wakuu..Ila hizo jezi zetu zinaboa mhhhhhhhh
 
mkuu hapo nakupinga hizo jezi nazipenda sana.yani ukivaa mtaani unatoka powa sana.imetulia.

Na jezi ya World Cup ipi ni poa sana? Najua ya Brazil ndiyo very popular karibu miaka yote na kama sikosei ya France pia.
 
Twaongoza 2-0.Gallas katutoa,leo kuna dalili ya kuwachapa hawa jamaa magoli mengi
 
Halafu naona taratibuu twapanda kileleni,tukishinda mechi hii tunakuwa na Pointi 21,na bado tuna mechi mkononi,inatia matumaini kwa kweli wakuu
 
Nipe tathmini ya 1st half mkuu,mi naona kama game imepooza,sijui kwa sababu nimetoka kuingalia ile adhabu Waliyopewa Man Utd

imepooza sio kasi yetu hile ya kawaida na naona vijana wetu wame relaxed sasa hivi baada kumaliza game goili 2 hazitoshi kabisa.hapa tunahitaji goli la tatu hili wakina fabregas ,arshavin wakapumzike kwa ajili ya mechi na spurs.
 
Back
Top Bottom